congobe
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 561
- 131
Kwanza mnatakiwa
muwe na adabu mmefaidi matunda ya watanganyika kwa miaka zaidi ya 50 leo
mnajifunua. Tutawakatia umeme ili muwe na adabu nyie. Hivi wanzibar
mnazalisha nini mpaka kiingie kwenye muungano zaidi uvivu mlionao.
Tukijitoa huko lazima mfe njaa au mnafikiri mtakula karafuu jitazameni
tena.
ikiwa umeishi nyumba ya kupanga miaka mingi tu umevumilia matusi na kejeli zote ,sasa umejenga nyumba yako ,utaendelea kusubiri ruksa ya mwenye nyumba akuruhusu kuhamia nyumba yako ? tumia akili kidogo utapata jibu