Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,126
hawa ndio mafisadi manahujumu nchi ...na ndio tunao wasaka ambao hula mali za masikini na wanyonge ambao mlo mmoja kwa siku ni wa tabu.
Wewe wasema..na hakuna aliyekuuliza mazee.
Acha u-comedy mazee. Wewe kama wajiona umehitimu na mwenye maarifa kuliko hao unaowaona kondoo, HONGERA SANA, ila usilete kashfa kwenye taratibu za wengine zilizoainishwa kikatiba. Kejeli unazoleta inaonesha jinsi ustaarabu umekupitia pembeni, na hata hiyo unayoita reason uwezekano mkubwa ni your own wishes, mazee.
Kama hujui kitu ni vyema ukauliza kuliko kuanza kujiabisha mbele ya kadamnasi. Utakatifu wa Nyerere haukuhusu kama wewe sio muumini, na hata ukieleweshwa haitakusaidia maana sio mmoja wa kondoo, kama ulivyosema mazee. Hivyo mazee just chill tu wakati wananchi wanakula bata kufuata imani wanayoiona ni sahihi mradi tu imeainishwa kikatiba.
Heri yako wewe uliyestukia hizi sarakasi na ulevi wa kadamnasi. Ila kama nilivyosema, waache wafu wawazike wafu wao mradi tu hawakubughudhi. Heshima ni kitu cha bure.
The pursuit of truth is paramount, na hata tukiacha wafu wawazike wafu wenzao, hatulazimiki kunyamaza.Ndiyo mana huwezi kuniona nimeandamana kupinga Nyerere kupewa utakatifu na kanisa katoliki.In fact nimeanza kwa kusema hata wakitaka kumpa uungu wampe tu, lakini nina wajibu wa kusema kwamba kwa mtu anayefikiri hasa Nyerere kupewa utakatifu/ u-ungu ni sarakasi.
As a matter of fact mungu mwenyewe -au idea ya mungu kwa maana mungu kama anavyoelezwa katika the Judeo-Christian tradition hayuko- ni fraud.
Hii ndiyo kazi muhimu ya JF, ku advance freedom of speech na kutoa outlet ya non-traditional views. Let's discuss the validity of concepts as opposed to merely sticking with traditions.
The paramount inaweza kuwa kutafuta the truth,this is good to know. Lakini hata kama unao ukweli bado the uhuru wa watu wengine kufuata na kuamini wanachoona ni sahihi, overrides hayo unayoyaona ni ukweli.
Hata hivyo mazee, hadi usawa huu hujathibitisha kuwa unao huo unaouita ukweli., au hata kujaribu kuuweka bayana huo unaodhani ni kweli. Hapa unacholeta ni madai ambayo kama kawa we don't waste time discussing madai mazee.
Haya ni mere madai..na bahati mbaya hayahusiani na mada. Tafuta forums husika ukathibitishe madai yako mazee.
Ni kazi ya JF vilevile kuhakikisha kuwa watu wanaheshimiana badala ya kuitana majina au kudharau wengine kwa kisingizio cha imani au kujitapa werevu usiothibitishwa popote.
Na timidity huua ukweli.Arrogance hukimbiza maarifa
na kutoheshimu wengine na yale wayaonayo ni nyeti ni konesha kutoelewa mipaka ya uhuru.
Pia kuanzisha mada juu mada nyingine ni dalili ya upungufu wa uelewa.
Kama nilivyosema mwanzo, sina beef na watu wengine kuamini wanavyoamini.Nimesema wanaweza kumfanya hata mungu-mtu.Principles hizo hizo zinazowapa wao uhuru wa kuamini wanachotaka na kunizuia mimi kuwazuia wao kuamini wanachotaka zinanipa uhuru mimi kueleza nisivyoamini wanachoamini. As long as sivunji sheria.
Kitu pekee unachoweza kuthibitisha ni kuwa huwezi kuthibitisha.
Tangu lini umekuwa moderator wa kuamua nini kikae wapi hapa bodini? Hii thread inahusiana na utakatifu wa Nyerere na dini topics ambazo by default zinamgusa mungu, sasa utasemaje hii point yangu si mahala pake?
Wewe utakachoona dharau wengine wataona unflinching dedication to truth, even at the risk of appearing brusque.
Na timidity huua ukweli.
Mipaka ya uhuru inaanzia wapi na inaishia wapi? Vipi kama mimi "dini" yangu haiamini katika mungu na mtu yeyote anayeniletea issue ya mungu inakuwa offensive kwangu? kwa sababu ni kama ku insult intelligence yangu? Ni kwa nini waamini wawe protected na sheria hizi za ustaarabu lakini sisi tusioamini tusiwe protected? Kama unataka kweli watu waheshimu imani za wengine basi tusiongelee kitu chochote kuhusu dini, even in the slightest way, kwa sababu one way or another ukishaongea kuhusu dini tu una m alienate mtu.Ukiongea kuhusu mungu wasioamini mungu wataona unawafanya kama watoto, ukiongea kwamba mungu ni fraud wanaoamini mungu wataona umewakosea heshima.Mimi nipo tayari ku refrain kuongea kuhusu dini, lakini na waamini nao inabidi waache kuongea kuhusu dini, kwa sababu wakiongea tu tayari wataniguisa na mimi itabidi ni express views zangu.
Kwa nini tunakuwa na double standards?
Hakuna mada iliyoanzishwa juu ya mada nyingine, nimeeleza vizuri relation ya canonization ya Nyerere na sarakasi za dini/siasa mpaka fraud ya the god idea, kama una one track mind and cannot chew gum while walking, that is your problem, not mine.
Kijana tutakusomea Fatwa. Ina maana dunia iliundwa kwa siku sita ni uongo?
Ina maana dunia ina miaka 10,000 ni uongo?
Kama nilivyosema mwanzo, sina beef na watu wengine kuamini wanavyoamini.Nimesema wanaweza kumfanya hata mungu-mtu.Principles hizo hizo zinazowapa wao uhuru wa kuamini wanachotaka na kunizuia mimi kuwazuia wao kuamini wanachotaka zinanipa uhuru mimi kueleza nisivyoamini wanachoamini. As long as sivunji sheria..
Kitu pekee unachoweza kuthibitisha ni kuwa huwezi kuthibitisha..
Tangu lini umekuwa moderator wa kuamua nini kikae wapi hapa bodini? Hii thread inahusiana na utakatifu wa Nyerere na dini topics ambazo by default zinamgusa mungu, sasa utasemaje hii point yangu si mahala pake?
Wewe utakachoona dharau wengine wataona unflinching dedication to truth, even at the risk of appearing brusque.
ambao hujauleta mpaka dakika hii..lolNa timidity huua ukweli...
Mipaka ya uhuru inaanzia wapi na inaishia wapi? Vipi kama mimi "dini" yangu haiamini katika mungu na mtu yeyote anayeniletea issue ya mungu inakuwa offensive kwangu? kwa sababu ni kama ku insult intelligence yangu? Ni kwa nini waamini wawe protected na sheria hizi za ustaarabu lakini sisi tusioamini tusiwe protected? Kama unataka kweli watu waheshimu imani za wengine basi tusiongelee kitu chochote kuhusu dini, even in the slightest way, kwa sababu one way or another ukishaongea kuhusu dini tu una m alienate mtu.Ukiongea kuhusu mungu wasioamini mungu wataona unawafanya kama watoto, ukiongea kwamba mungu ni fraud wanaoamini mungu wataona umewakosea heshima.Mimi nipo tayari ku refrain kuongea kuhusu dini, lakini na waamini nao inabidi waache kuongea kuhusu dini, kwa sababu wakiongea tu tayari wataniguisa na mimi itabidi ni express views zangu.
Hakuna mada iliyoanzishwa juu ya mada nyingine, nimeeleza vizuri relation ya canonization ya Nyerere na sarakasi za dini/siasa mpaka fraud ya the god idea, kama una one track mind and cannot chew gum while walking, that is your problem, not mine.
Uhuru unaanza na kuishia kwenye sheria ya dhahabu, mazee. Maneno yako yanayofuata baada ya hilo swali yapo out of context, watu wa dhehebu X kuzungumzia Mr.Y na utakatifu wake hakuna mafungamano na yeyote asiyehusika na dhehebu husika, unless uniambie unawashwa na pilipili iliyopo shambani mazee.
Kuwashwa na pilipili iliopo shambani ndio udaku na umbeya, na matokeo yake ni kutoelewana mazee.

Abdulhalim, wewe unaupeo mkuu, ubarikiwe.
Hao jamaa wanodakia imani za watu na kujifanya wanauchungu nazo, matatu;
1. Wanazipenda sana imani za wenzao, ila wanaona soni kujitokeza waziwazi kwamba zao feki ila za wenzao ndio bora.
2. Ni wajinga unoelekea kuwa 'up....bavu'
3. Ni mkakati maalumu wa kuifanya imani yao (ya kuazima kwa mijitu mieupe)eti ndiyo bora!
Sheria ya dhahabu inasemaje?
Uhuru unaanza na kuishia kwenye sheria ya dhahabu, mazee. Maneno yako yanayofuata baada ya hilo swali yapo out of context, watu wa dhehebu X kuzungumzia Mr.Y na utakatifu wake hakuna mafungamano na yeyote asiyehusika na dhehebu husika, unless uniambie unawashwa na pilipili iliyopo shambani mazee.
Kuwashwa na pilipili iliopo shambani ndio udaku na umbeya, na matokeo yake ni kutoelewana mazee.
Hapo unakosea sana. Uhuru unaanzia na kuishia kwenye haki za binadamu. Nyerere mwenyewe, mwanzoni alikataa urais wa maisha na hata huo ubaba wa taifa ameupokea mwishoni sana tena baada ya kuona kuwa legacy zake mnaanza kuzikimbia.
Kama kweli Mungu yupo, kwanini watu muwe mnahangaika kumfanya Nyerere awe saint wakati hiyo ni kazi ya Mungu.
Just google it.