Nyenyere aliiharibu nchi na kufanya watanzania wajinga na kuua viwanda na propaganda nyingi ambazo zimesababisha inchi kuwa maskini kupita kiasi...kama sikosei tanzania ipo kwenye kumi bora masikini duniani.
Bluray!...great thinker siyo kwamab wanaogpa vocab...kutumia vocabulary doesnt mean wewe ndiyo smart!....You dont have to show off kwa kuandika vocabulary..just be simple na watu wakuelewe that is the main point.....
I am not hating but i am just giving out my opinion...kuwa just be you and dont try to be somebody that you are not.....Na utaeleweka tuu!.....
Mtu anaweza kutumia vocab akaandika pumba, mwingine anaweza kuandika simple akaandika gems.
Mwingine anaweza kutumia vocab akaandika gems, na mwingine anaweza kuandika simple akaandika garbage.
All I am saying, judge my posts based on their content -that is if you can comprehend them- not whether my language is simple or vocabulary laden.
I am mostly not concerned na watu wasioelewa kwa sababu ya lugha, kwa sababu I would like to think wengi sana wanaelewa, na hata nikiandika Kiswahili kwa ulimbwende wangu wa kutumia misamiati tanashati bado nitaonekana niko kule kule.
Kwa hiyo kama unaona naandika visivyo usisome, sio lazima.Lakini iache niandike ninavyotaka.Wewe utajisikiaje nikikulazimisha uandike kwa vocab wakati wewe ni plain writer?
Well kujua vocabulary siyo kujua Lugha that is my all point!....
cheers mate!
Kwa hiyo kama unaona naandika visivyo usisome, sio lazima.Lakini iache niandike ninavyotaka.Wewe utajisikiaje nikikulazimisha uandike kwa vocab wakati wewe ni plain writer?
Hata na madikteta nao wapate?!
Hiyo kitu ngumu sana aisee. Inawezekana wewe na mimi twaweza kufanya hivyo lakini kwa uzoefu wangu binadamu ni viumbe wanaopenda imposition.
But in the spirit of freedom of expression, they have the right to say (not to make you do) what in their opinion ought to be and likewise you have the right to do you so long as you aren't infringing upon their right to express their opinions.
Hiyo kitu ngumu sana aisee. Inawezekana wewe na mimi twaweza kufanya hivyo lakini kwa uzoefu wangu binadamu ni viumbe wanaopenda imposition.
But in the spirit of freedom of expression, they have the right to say (not to make you do) what in their opinion ought to be and likewise you have the right to do you so long as you aren't infringing upon their right to express their opinions.
Kwani nani kamwambia hana right ya kufanya kile anachotaka yeye kufanya?.....he has the right kufanya anything hata akitaka kutembea uchi he can do it.....freedom of speech na pia watu wana right ya kujudge......equal right!...
If you haven't dictated terms in your life time, you are dormant if not dead. Otherwise, we sometimes have to become dictators to have our dreams realised...
Na yeye pia ana haki ya kuwa judge wanaom judge!
Bluray!...miye sikutakazi kuandika vocabulary zako...you can do and write whatever you want to write....ila my point is hata ukiandika simple english pia utaeleweka....mfano right nenda kasome kitabu alichiandika Nelson Mandela (Long walk to freedom),Wrren Buffet (his biography),Barack Obama or Susie sorry nasahau her name (yule mdada wa cnbc) au Cramer wameandika in a very simple english compared na kile kitabua alichoandika yule myakyusa kuhusu biography ya mwalimu Nyerere...yaani its too many vocabulary hadi huoni radha ya kusoma kitabu tena......
Sioni kama its necessary kuanza kutumia big words kama tupo kwenye mashindano ya spelling bee!.....simple and clear na siyo kwamba hueleweke sometimes it doesnt make sense.....
Tatizo ni kwamba, unachoona wewe kama "big word" na mimi ninachoona "big word" ni vitu viwili tofauti.
Labda nikuulize, unasoma magazeti?
Waambie wamsome Shakespeare.....
Waambie wamsome Shakespeare.....