Nyerere angegombea urais kwa Tiketi Ya Upinzani angeweza Kushinda?

na babu yako aliyekuwepo kipindi Nyerere anaongoza alikaa kimya tu kuona JKN anafanya hayon yote? baba au babu yako walikuwa wapi mpaka wanamuachia mtu dikteta kushika nchi?

however, hujasema ali 'dikteta' nini! kuna uwezekano mpaka leo hii amekufa haujamwelewa alikuwa anataka nini! ikiwa hivyo mkuu napata shida, kuwa JKN brain was 15yrs ahead of you...LOL!

well mr weberoya unajua maana ya udikteka ?wazee hawakuweza kusema kitu kutokana na kwamba wakati wa kipindi chake ukitoa maoni yoyote yanyohusu nchi unaitwa mhaini na kutiwa ndani .even if you were not threat to a national security.kuna viongozi walikuwa wanataka kudebet kuhusu masuala ya muungano and you know what he did .he fired them.dictator nyerere was a hero to an idiot like you who live in the village.
 
Kwa CCM hii ya sasa iliyojaa Ma -capitalist na mafisadi kuna kila dalili Kama Nyerere angekuwa hai na kugombea kwa chama kingine nje ya CCM, ninahisi angeweza kushindwa,kwa sababu wangetumia nguvu yao ya pesa kuwalaghai wapiga kura,lakini pia angezingiziwa mambo mengi sana ya uzushi.

,Isingekuwa ajabu kusikia wananchi wakiambiwa kwamba kumchagua Nyerere ni kuchagua vita,watu wangekumbushwa vita ya Uganda na matokeo yake,lakini pia wangeweza kumzingizia kwamba si raia wa Tanzania hata kama aliwahi kuwa raisi,watu wangeambiwa Nyerere ni raia wa Kenya kwa sababu tu anatoka mkoa unaopakana na Kenya.

kama uzushi na ufisadi basi nyerere ndio alieanzisha .we are in this terrible situation because of him .he create it all.vile vile mkuu naona unachanganya .capitalist and corruption is two different things .to be a capitalist is not a bad thing as long as umepata pesa yako kihalali .
 
Back
Top Bottom