Mipango miji
Member
- Feb 3, 2017
- 61
- 65
Unataka tumsifie nani? Tatizo unaweza kuwa hujui hata kaifanyia nn nchi ndio maana unaona watu wanamsifia bure.Tunamsifia sana Nyerere bure. Yeye ndiye amesababisha matatizo ambayo tunayo sasa. Tumekuwa wapumbavu kwa ajili yake hadi watu wawili tu wanatupelekesha na kutuburuza
Nyerere aliwahi kusema,Watu hawapelekewi maendeleo, maendeleo wanajitafutia wenyewe. Nyerere ameletaje huo umaskini? Ulitaka nani awe rais wa kwanza kipindi hicho nchi inapata Uhuru ilikua na Mainjinia wawili tu.100% upo sahihi,
-ukianza na watu kuwa waoga ni yeye
-watu kuwa masikini ni yeye
-watu kuwa malimbukeni na wajinga ni yeye
-nambaya zaidi akaanzisha CCM inayotunyonya hadi leo
-katunga katiba mbovu,ambayo mwenyewe ana kili ina mapungufu mengi bado akaiacha hivyo hivyo huku alikuwa anaweza kuirekebisha
Nyerere Saddist.?Yani Huyu jamaa alikuwa mbinafsi kabisa. He was divisive. Huu ukanda na ukabila sijui wachaga hawafai kutawala ni yeye. Nyerere alikuwa Saddist na athari yake inaonekana sasa hivi.
Ikiwa ni equal kwa nini Tanganyika ikajivisha koti la muungano? Hio equal iko Wapi kwa washirika? Yale yasio ya muungano kwa Tanganyika anafanya bila ya kuzuizi wakati zanzibar a napata vizuizi.Alichokisema Mwalimu Nyerere kuhusu usawa kwenye sovereignty kuwa ni equal, ni ukweli kabisa, hakuna sovereignty kubwa wala ndogo. Hata Italy sovereignty ya Vatican City ni sawa na ya Italy.
Lakini ukiisha kabidhi sovereignty yako kwa mwingine, wewe unakuwa huna tena hiyo sovereignty. Sovereignty sio andazi au kitumbua useme unaweza kuimega kidogo na kumgawia mwenzio na wewe kubaki nayo.
Tanganyika na Zanzibar zinaungana kwa union, kila nchi imepoteza sovereignty yake na kuikabidhi kwa JMT.
You can't eat your cake and have it.
Once you give out your sovereignty, its gone.
P
Tanganyika ni marehemu siku nyingi ndio maana tunaulinda Muungano wetu adhimu kwa gharama yoyote, kwa sababu Tanzania ndio iliyopo na kelele zikizidi tunakwenda kwenye serikali moja, watu hata kukohoa mtashindwa!Ikiwa ni equal kwa nini Tanganyika ikajivisha koti la muungano? Hio equal iko Wapi kwa washirika? Yale yasio ya muungano kwa Tanganyika anafanya bila ya kuzuizi wakati zanzibar a napata vizuizi.
Bila ya Tanganyika hakuna equally
Labda huko tanganyika ndio mtakapo kohoa,saiv wazanzibar wanadai zanzibar yao wazi wazi licha ya kudhibitiwa na vifaru vya tanganyika,mauwaji ya wazanzibar tokea 1964 na mpaka leo hii wazanzibar hawajarudi nyuma,wauweni wazanzibar wote lakini minazi na mikarafuu itaidai zanzibar.Tanganyika ni marehemu siku nyingi ndio maana tunaulinda Muungano wetu adhimu kwa gharama yoyote, kwa sababu Tanzania ndio iliyopo na kelele zikizidi tunakwenda kwenye serikali moja, watu hata kukohoa mtashindwa!
Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"
Wanabodi, Wakati mchakato wa Bunge la Katiba unaendelea, kumezidi kuibuka mijadala mikali, kuhusu serikali 3 zilizopendekezwa na Tume ya Warioba au kushikilia serikali mbili ambayo ndio sera ya chama tawala, Chama cha Mapinduzi, na tayari wachunguzi wa hesabu za uwiano wa kuwianika...www.jamiiforums.com
P
Nakala zako mimi hazinisaidii kitu, kwa sababu wewe ni mwanasiasa wa chama fulani na unasimamia maslahi yako na chama.Tanganyika ni marehemu siku nyingi ndio maana tunaulinda Muungano wetu adhimu kwa gharama yoyote, kwa sababu Tanzania ndio iliyopo na kelele zikizidi tunakwenda kwenye serikali moja, watu hata kukohoa mtashindwa!
Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"
Wanabodi, Wakati mchakato wa Bunge la Katiba unaendelea, kumezidi kuibuka mijadala mikali, kuhusu serikali 3 zilizopendekezwa na Tume ya Warioba au kushikilia serikali mbili ambayo ndio sera ya chama tawala, Chama cha Mapinduzi, na tayari wachunguzi wa hesabu za uwiano wa kuwianika...www.jamiiforums.com
P
Loooh, huyo Nyerere aliweza kuyafanya yote hayo?100% upo sahihi,
-ukianza na watu kuwa waoga ni yeye
-watu kuwa masikini ni yeye
-watu kuwa malimbukeni na wajinga ni yeye
-nambaya zaidi akaanzisha CCM inayotunyonya hadi leo
-katunga katiba mbovu,ambayo mwenyewe ana kili ina mapungufu mengi bado akaiacha hivyo hivyo huku alikuwa anaweza kuirekebisha
Huyo sio mchaga, ana sababu zake za kudai hivyo hapa. Kuhangaika na mtu kama huyo ni kama kumpiga chura teke. Unamwongezea spidi asiyostahili.Kwenye cabinet post za mwanzo wachaga walikuwemo, na viongozi wengi nyakati hizo walikuwa wameoa uchagani.
Kuna akina Nsilo Swai, akina Lt. Gen Kiwelu, Lt. General Imran Kombe, Brig. Gen. Kimario, Waziri wa Fedha na Gov wa BOT Mtei, Mramba akiwa Waziri toka enzi ya mwl mpaka awamu ya 4. Mtani wenu mpare wa Mwanga alikuwa PM mara 2 na waziri wa fedha wa muda mrefu
Kati ya makabila 132 Tanzania kuna makabila hajawahi hata kutoa Waziri, unapolalama wachaga hawajawahi kupata sehemu ya national cake, nini cha ziada mnataka.
Tanzania ni yetu sote, sio lazima mpate kila kitu.
Sisi hatujapoteza sovereignty yetu nyinyi ndio msoitaka yenu yetu ipo (SMZ) naitaendelea kuwepo mnanishangaza sana mnapoukana hadharani u TANGANYIKA wenuAlichokisema Mwalimu Nyerere kuhusu usawa kwenye sovereignty kuwa ni equal, ni ukweli kabisa, hakuna sovereignty kubwa wala ndogo. Hata Italy sovereignty ya Vatican City ni sawa na ya Italy.
Lakini ukiisha kabidhi sovereignty yako kwa mwingine, wewe unakuwa huna tena hiyo sovereignty. Sovereignty sio andazi au kitumbua useme unaweza kuimega kidogo na kumgawia mwenzio na wewe kubaki nayo.
Tanganyika na Zanzibar zinaungana kwa union, kila nchi imepoteza sovereignty yake na kuikabidhi kwa JMT.
You can't eat your cake and have it.
Once you give out your sovereignty, its gone.
P
Alichokisema Mwalimu Nyerere kuhusu usawa kwenye sovereignty kuwa ni equal, ni ukweli kabisa, hakuna sovereignty kubwa wala ndogo. Hata Italy sovereignty ya Vatican City ni sawa na ya Italy.
Lakini ukiisha kabidhi sovereignty yako kwa mwingine, wewe unakuwa huna tena hiyo sovereignty. Sovereignty sio andazi au kitumbua useme unaweza kuimega kidogo na kumgawia mwenzio na wewe kubaki nayo.
Tanganyika na Zanzibar zinaungana kwa union, kila nchi imepoteza sovereignty yake na kuikabidhi kwa JMT.
You can't eat your cake and have it.
Once you give out your sovereignty, its gone.
P
Unataka tumsifie nani? Tatizo unaweza kuwa hujui hata kaifanyia nn nchi ndio maana unaona watu wanamsifia bure.