View attachment 38873
katika pitapita yangu nimeekutana na picha hii... sijui ina ujumbe wowote kwa magwanda? naomba mwenye kujua kuhusu hiyo picha anisaidie kujua zaidi pia
Anajipotezea muda kwa magamba bora aende CDM
Labda NCCR, mkuu mimi ni magamba ila CDM wana kina dada na kina mama smart sana!, na wakiwa exposed (mfano huyo wa kalenga) wakinamama wengi sana wanaweza kuvutiwa.HILI KAPI lina manufaa gani kwa CDM TAIFA KUBWA?
Muuza suraLabda NCCR, mkuu mimi ni magamba ila CDM wana kina dada na kina mama smart sana!, na wakiwa exposed (mfano huyo wa kalenga) wakinamama wengi sana wanaweza kuvutiwa.
Shyrose ni kama anti fulani hivi ambaye dada zangu wauza chapati pale temeke mwisho watamuona anajidai au anaweza kuwachukulia waume zao. Not a good idea.
...Hiii imenivutia zaidi...Babu anajua radha ya huyo aliyesimama naye? maana pozi lake liko vizuri...