NYC

mwekwa ntandu

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
944
2,191
Unafikiri itatuchukua miaka mingapi kufikia ustaarabu huu
262993289_1000576760669574_7704559589435371649_n.jpeg
 
Tunaweza tukaanza kufikia huko hata leo ikiwa CCM yote ikifa hata muda huu. Was%$#*(#i wakubwa hawa wametuhariba nchi nzuri yenye kila kitu tuliyopewa na Muumba.
 
Mawazo ya kinyumbu nyumbu hovyo kabisa, ina maana Africa yote inaongozwa na CCM? Huko Syria kunaongozwa na chadema?
 
Ila kuna nchi nyingi tu afrika zina maendeleo makubwa kuliko sisi na zimetuacha mbali sana na hawajakumbatia vyama tawala vya aina moja
 
Tunaweza tukaanza kufikia huko hata leo ikiwa CCM yote ikifa hata muda huu. Was%$#*(#i wakubwa hawa wametuhariba nchi nzuri yenye kila kitu tuliyopewa na Muumba.
Wanarithishana tu madaraka ila maendeleo zero
 
Back
Top Bottom