Mbona bibi yako mpk leo ni mkulima na halalamiki?kilimo ndo hicho cha kuangalizia mvua....
Twambie wewe uliyetafakari.Hivi umekaa na kutafakari kwa nini uhalifu unaongezeka?
Ulitaka wafanywe nn? Yaani sasa hivi ni mwendo wa risasi tu. Kama una ndugu mwizi mwambie aache atapigwa risasi tu.halafu dola hiyo hiyo inawaua watuhumiwa wa wizi....
Kivipi? Acha kujilegeza weweDola inahakikisha vijana wanakosa hata fursa ya kujiajiri