Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,524
- 1,706
Wanyama wa maeneo hayo kwa sasa wana nyodo sana. Hii ni kutokana na kudekezwa na Kampuni ya Grumeti kwani wananchi wa huko hawaruhusiwi hata kuwafukuza wanyama wanaoingia kwenye mashamba au makazi yao.
Nyodo nyingine ni pale wanapoona hatua kali zinachukuliwa pale wananchi wapokatisha / kakaribia maeneo yao au ng`ombe kuonekana karibu yao