Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,766 Reaction score 2,076 May 29, 2014 #21 Kuna ubaya gani akipumzika tu.?
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 May 29, 2014 #22 HARUFU said: Mama wa watu wamemtupilia nafasi ya tatu Click to expand... Huenda wamekasirishwa na kitendo cha mzozo wa mpaka kati yao na tz,maana shangazi alikuwa mkali kaa pilipili
HARUFU said: Mama wa watu wamemtupilia nafasi ya tatu Click to expand... Huenda wamekasirishwa na kitendo cha mzozo wa mpaka kati yao na tz,maana shangazi alikuwa mkali kaa pilipili
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 May 29, 2014 #23 Loooh jamani huo mguu wa kiti usije kumjeruhi huyu mama maana upo pahali panapohitaji uangalizi wa hali ya juu sana:shock::shock:
Loooh jamani huo mguu wa kiti usije kumjeruhi huyu mama maana upo pahali panapohitaji uangalizi wa hali ya juu sana:shock::shock:
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,040 Reaction score 3,928 May 30, 2014 #24 Na leo ngoma inalala droo. Mahakama kuu inashughulika na mapingamizi mbalimbali ili hatimaye itoe uongozi kwa tume ya uchaguzi! Lilongwe mtu kauawa kwa risasi katika vurugu za kutaka matokeo, na huko Mangochi watu wameumia na 10 kuswekwa ndani.
Na leo ngoma inalala droo. Mahakama kuu inashughulika na mapingamizi mbalimbali ili hatimaye itoe uongozi kwa tume ya uchaguzi! Lilongwe mtu kauawa kwa risasi katika vurugu za kutaka matokeo, na huko Mangochi watu wameumia na 10 kuswekwa ndani.