Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'

Safari njema Nyaronyo, huenda mtakuwa katika mahusiano mazuri na Kikwete, maana wiki iliyopita ulilalamika kuachwa katika uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba, licha ya kukidhi vigezo vyote

Nadhani hujailewa vizuri makala!
 
Changia hoja, acha kunitamani. Au uantaka kusema sura yangu inafaa niwe nimehamia CCM tangu zamani? Mimi wa huku huku kwa sura mbaya ila sheria tunafuata

Mi nimesema Picha yako sijakutamani hata kidogo nitake radhi.....kabla sijaanza kuchangia hoja.......
kuhama hau kutohama ni haki yake Kikatiba.
 
hiuu ni mtindo wa uwakilishaji makala kwa wale wasiomuelewa vema,
Ni kwamba ameiponda ccm na rais wao kwa kutokuwa makini na rasliomali zetru
Funguka kicheere.......
 
sio rahisi kuelewa makala ya kicheere ukisoma kawaida ana maanisha kuwa serikali ya kikwete inalinda mafisadi kama wangekuwa labda cdm kwa mafisadi kusingekalika

swali:who is clean
 
huwa nawaambia ma ccm hayanaga akili kichwani yani yamejua kweli kicheele kahamia ccm,mmetukanwa kikubwa,kaeni na umbulula wenu
 
Nahisi MACCM yote yamepata Division 5,Mbona mpo vilaza namna hii,Ukiisoma thread utaona ni jinsi gani huyu nguli anavyompaka matope kwa njia ya fasihi mkuu wa KAYA.CCM SOMA BTW LINES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…