Divele Dikalame
Member
- May 4, 2010
- 77
- 12
BAADA ya kuwaondoa kwa dhulma wakurugenzi wa idara ya wanyamapori Prof. Songoro na Prof. Kideghesho, uonevu unaendelea taarifa zinasema waziri Nyarandu kesho saa tatu asubuhi ameita waandishi wa habari pamoja na wajumbe wa bodi ya utalii ambapo atatangaza kumuondoa Dr Aloyce K Nzuki katika nafasi ya Managing Director wa TANZANIA TOURIST BOARD kwa kuwa amekasirishwa na kitendo Dr Nzuki kushindwa kuifanya Tanzania kuwa mwenyeji wa Africa Hotel Investment Forum- AHIF 2014!!!?