Hizi barua hazimsafishi Nundu bali inaonyesha kuwa alikuwa ana kaurafiki haramu na hii kampuni ya China Merchants Holdings nje ya njia zinazokubalika yaani kiofisi maana hawa wanaonekana hawafuati njia sahihi zinazotakiwa kufuatwa na kampuni bali wanatumia kiongozi mla rushwa/mlafi kama Omar Nundu kuipiga bao kampuni ya China Communications construction Ltd ambayo tayari proposal yake imakubalika na serikali imesapata fedha toka Exim Bank China! Sasa sijui ni punda gani anaweza kuacha mradi ulioiva namna hiyo wa China Cummunications Construction Ltd akaenda kwa huu wa China Merchants Holdings ambao haujasema ni kiasi gani ita-finance hiyo miradi na kwa riba kiasi gani! hapa simply hii barua inaonyesha jinsi mawaziri wetu vilaza walivyo tayari ku-take risk na ku-subotage miradi mikubwa ya maendeleo ili mradi tu wamehakikishiwa kushibishwa matumbo yao na miradi fake inayokosa transparent bali kupitia kwa vimemo viinavyoweza kui-cost nchi kama mikataba ya umeme ta Tanesco! Omar Nundu lazma ajiuzulu manina.....!
mKUU Thanks!!
Nina observations chache sana
Ukiangalia communications zote, signatories, manners, language na hata basura zilizowekwa hapa, inaonyesha wazi kwamba info beforehand haifiki haka asilimia 10 ya kilicho nyuma ya pazia... PROBING TONE KWA WATAALAM WA FRAUD AWARENESS
Ukicheki pia jinsi Mkulo, Mgawe, Nundu, Chambo nk wanavyowasilisha habari ni kama tuna miradi tofauti.... FRAUD MARKER
Ukija kwenye hoja ya HALISI (the man i respect a lot) anatoa hoja ya mtu kutokwenda CHINA kama reasoning ya usafi, amesahau kwamba the smart thieves hawaendi front,
Ninahoji zaidi weledi wa gwiji HALISI hasa pale anapoonyesha wazi kuwa hajasoma documents, bali (nahisi) amekaa na timu ya utetezi wa Nundu na kuchukuliwa na emotional attachments.... THEORIES ZOTE ZA UWAJIBIKAJI ZINAMUWEKA NUNDU HATIANI (IWE KWA MAKUSUDI AU KUTOKUJUA,, NA KUTOKUJUA SHERIA HAKUKUONDOLEI ADHABU YA KUVUNJA SHERIA
Coming the value of the project and importance, Yes, ni muhimu na efforts walizofanya na wachina (wa-CHINA, na walio SE isiyo beijing) lakini unapata picha kabisa kwamba kuna mkono mtu
My take:
Nundu is using the system kujisafisha, which is ok (labda aliteleza na hana nia mbaya) lakini system imetumia mbinu mbaya kuweka usafi kwenye kilichochacha, afterall kujiuzulu hakumchafui bali kunamuweka kundi moja na fallen heroes wa vitani, ni sacrifical lamb rather than a criminal
The time to change is now, and tuanze kwa kugundua makosa na kusawazisha kiakili zaidi ya kukana na kulindana kwa vi-memo viwili au vitatu
I know it is risky lakini nimeona niseme hayo kwa kuelewa kwamba kipindi hiki cha mpito kinahitaji zaidi watu wawazi kuliko wanafiki