Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,417
- 133,790
Endeleeni kumwaga nondo na mimi kesho nakuja na zangu!. Jee nani anajua hao CCCC walipatikanaje?. Jee kuna tenda yoyote ilitangazwa?!. Jee walijuaje TZ tunataka kupanua bandari?. Jee nani aliwapa kibali cha kufanya feasibility study?. Wangapi mnajua kuwa good practice ni feasibility study kufanywa na mwingine, funding kutafutwa kwa mwingine, construction company iwe nyingine na consultants ni wengine for checks and balance!. Jee ni wangapi mnajua feasibility study wanefanya hao CCCC, consultants ni wao wao CCCC wakaja na hiyo figure ya dola milioni 500 plus bila any independent verification na mkopo wakaomba hao hao CCCC kutoka Exim Bank?. Why?. Tangu lini unaomba mkopo alafu banker anakulazimisha usipofanya kazi na CCCC no mkopo!.
Mbona Mombasa wamejenga kwa 200 why sisi tujenge kwa 600?!.
Hivi mnajua kiburi na jeuri ya Mfutakamba inatoka wapi?. Mnamjua nani anampa ruhusa kwenda kuhongwa huko nje huku akimby pass boss wake?!. Nnajua aliandika recomendation ya kuifagilia CCCC na kuisubmit wapi bila kumuonyesha waziri?. Amini nawaambieni hao CCCC ni yule yule RA!. Kama Richmond tuu ila this time sio US ni China!. Hivi mnanuamini Serukamba?!. Mnaamini ni yeye ndie aliyeomba kuwa M/Kiti wa Kamati ile?. No amewekwa kama alivyo pewa ubunge!. Yeye ni remote tuu ya RA!.
Endeleeni kumwaga mboga kesho na sisi tunamwaga ugali wakose wote!. Kusema ukweli napandwa na hasira sana mpaka natamani nchi hii tungekuwa kama China, mafisadi wana kula bullets soonest possible na kusahaulika!.
Mchukua Nundu na Mfutakamba uwapime nani fisadi na nani sio!. Tatizo la ufisadi ni kubwa kuliko nilivyodhania maana mpaka humu jf vibaraka wao, wametamalaki sana!.
Mungu Ibariki Tanzania!. Nawahakikishia kama 2015 Watanzania wataamua kufanya kweli, kuna wenzetu humu humu watatafuta pa kutokea maana kwao pia ni kilio na kusaga meno!.
Pasco hapa ndipo unapoweza kumaliza hasira za Boss wako, hakuna kulala mwambie Lowasa akupe details zote anazozifahamu lete mwaga hapa na from there indio utakuwa mwisho wa matumizi ya neno kujivuwa gamba.
Kuna storm kubwa inakuja ambayo cha kusikitisha mpaka sasa Watanzania wameshindwa kusoma alama za nyakati kwamba Mungu ameamuwa kujidhihirisha upande wa Wananchi lakini cha kushangaza taasisi za kiraia na kidini ziko kimya juu ya swala hili.
Kwa hakika huu ndio wakati muhafaka wa kuing'oa serikali ya Kikwete madarakani, hatuna sababu ya kusubili mpaka 2015 maana hata JK akisema avunje baraza lake leo atapata Mawaziri kutoka miongoni mwa Wabunge wepi? Lusinde!!??....
Endeleeni kumwaga nondo na mimi kesho nakuja na zangu!. Jee nani anajua hao CCCC walipatikanaje?. Jee kuna tenda yoyote ilitangazwa?!. Jee walijuaje TZ tunataka kupanua bandari?. Jee nani aliwapa kibali cha kufanya feasibility study?. Wangapi mnajua kuwa good practice ni feasibility study kufanywa na mwingine, funding kutafutwa kwa mwingine, construction company iwe nyingine na consultants ni wengine for checks and balance!. Jee ni wangapi mnajua feasibility study wanefanya hao CCCC, consultants ni wao wao CCCC wakaja na hiyo figure ya dola milioni 500 plus bila any independent verification na mkopo wakaomba hao hao CCCC kutoka Exim Bank?. Why?. Tangu lini unaomba mkopo alafu banker anakulazimisha usipofanya kazi na CCCC no mkopo!.
Mbona Mombasa wamejenga kwa 200 why sisi tujenge kwa 600?!.
Hivi mnajua kiburi na jeuri ya Mfutakamba inatoka wapi?. Mnamjua nani anampa ruhusa kwenda kuhongwa huko nje huku akimby pass boss wake?!. Nnajua aliandika recomendation ya kuifagilia CCCC na kuisubmit wapi bila kumuonyesha waziri?. Amini nawaambieni hao CCCC ni yule yule RA!. Kama Richmond tuu ila this time sio US ni China!. Hivi mnanuamini Serukamba?!. Mnaamini ni yeye ndie aliyeomba kuwa M/Kiti wa Kamati ile?. No amewekwa kama alivyo pewa ubunge!. Yeye ni remote tuu ya RA!.
Endeleeni kumwaga mboga kesho na sisi tunamwaga ugali wakose wote!. Kusema ukweli napandwa na hasira sana mpaka natamani nchi hii tungekuwa kama China, mafisadi wana kula bullets soonest possible na kusahaulika!.
Mchukua Nundu na Mfutakamba uwapime nani fisadi na nani sio!. Tatizo la ufisadi ni kubwa kuliko nilivyodhania maana mpaka humu jf vibaraka wao, wametamalaki sana!.
Mungu Ibariki Tanzania!. Nawahakikishia kama 2015 Watanzania wataamua kufanya kweli, kuna wenzetu humu humu watatafuta pa kutokea maana kwao pia ni kilio na kusaga meno!.
Mkuu taaratibu unaweza sababisha watu kufa kwa Bp!
JK anapaswa avunje baraza au Pinda aachie ngazi au wale Mawaziri wajiuzuru wenyewe later today, maana zikija kupigwa kura utashangaa kura robo tatu zitasema hatuna imani na Pinda, maana kama watasubiri mpaka kura zipigwe maana yake zitakuwa ni kura za siri na hapo ndipo utakapojuwa kumbe hii move inaungwa mkono zaidi na CCM kuliko hata Upinzani wenyewe.Ngoja tuendelee kuangalia wanavyomalizana wenyewe kwa wenyewe. Sikujua kama wamefikia hapo!!
Aliamka na hangover akadhani yupo Facebook, kuja kutaamaki ameshapost ule utumbo, basi tumsamehe bure na saa hizi yupo Sinza kwa wajanja!!......Pasco anatia mkwara tuu huo. Kwanza ile habari ya asubuhi vipi keshaifafanua?
mi nathani hiyo miaka 45 haitakuwa na shida kama kodi watakayokuwa wanalipa hao wawekezaji itawekwa in such a way ina appreciate! Maana hata tukipewa tuendeshe hizo berths nakuhakikishia hata hiyo miaka 40 haitafika! na isitoshe kuna nyingine 12 ambazo TPA na TICTs wanazimiliki kwahiyo sioni tatizo!Sijapenda habari za kutoa bandari rehani kwa miaka 45.
mi nathani hiyo miaka 45 haitakuwa na shida kama kodi watakayokuwa wanalipa hao wawekezaji itawekwa in such a way ina appreciate! Maana hata tukipewa tuendeshe hizo berths nakuhakikishia hata hiyo miaka 40 haitafika! na isitoshe kuna nyingine 12 ambazo TPA na TICTs wanazimiliki kwahiyo sioni tatizo!
Aliamka na hangover akadhani yupo Facebook, kuja kutaamaki ameshapost ule utumbo, basi tumsamehe bure na saa hizi yupo Sinza kwa wajanja!!......
Endeleeni kumwaga nondo na mimi kesho nakuja na zangu!. Jee nani anajua hao CCCC walipatikanaje?. Jee kuna tenda yoyote ilitangazwa?!. Jee walijuaje TZ tunataka kupanua bandari?. Jee nani aliwapa kibali cha kufanya feasibility study?. Wangapi mnajua kuwa good practice ni feasibility study kufanywa na mwingine, funding kutafutwa kwa mwingine, construction company iwe nyingine na consultants ni wengine for checks and balance!. Jee ni wangapi mnajua feasibility study wanefanya hao CCCC, consultants ni wao wao CCCC wakaja na hiyo figure ya dola milioni 500 plus bila any independent verification na mkopo wakaomba hao hao CCCC kutoka Exim Bank?. Why?. Tangu lini unaomba mkopo alafu banker anakulazimisha usipofanya kazi na CCCC no mkopo!.
Mbona Mombasa wamejenga kwa 200 why sisi tujenge kwa 600?!.
Hivi mnajua kiburi na jeuri ya Mfutakamba inatoka wapi?. Mnamjua nani anampa ruhusa kwenda kuhongwa huko nje huku akimby pass boss wake?!. Nnajua aliandika recomendation ya kuifagilia CCCC na kuisubmit wapi bila kumuonyesha waziri?. Amini nawaambieni hao CCCC ni yule yule RA!. Kama Richmond tuu ila this time sio US ni China!. Hivi mnanuamini Serukamba?!. Mnaamini ni yeye ndie aliyeomba kuwa M/Kiti wa Kamati ile?. No amewekwa kama alivyo pewa ubunge!. Yeye ni remote tuu ya RA!.
Endeleeni kumwaga mboga kesho na sisi tunamwaga ugali wakose wote!. Kusema ukweli napandwa na hasira sana mpaka natamani nchi hii tungekuwa kama China, mafisadi wana kula bullets soonest possible na kusahaulika!.
Mchukua Nundu na Mfutakamba uwapime nani fisadi na nani sio!. Tatizo la ufisadi ni kubwa kuliko nilivyodhania maana mpaka humu jf vibaraka wao, wametamalaki sana!.
Mungu Ibariki Tanzania!. Nawahakikishia kama 2015 Watanzania wataamua kufanya kweli, kuna wenzetu humu humu watatafuta pa kutokea maana kwao pia ni kilio na kusaga meno!.
hapa ndipo ninapohoji uwezo wako... huyo naibu wake alienda kwa approval zipi?Ni msafi maana hajawahi kwenda China, bali aliyeenda ni Naibu wake
Hizi barua hazimsafishi Nundu bali inaonyesha kuwa alikuwa ana kaurafiki haramu na hii kampuni ya China Merchants Holdings nje ya njia zinazokubalika yaani kiofisi maana hawa wanaonekana hawafuati njia sahihi zinazotakiwa kufuatwa na kampuni bali wanatumia kiongozi mla rushwa/mlafi kama Omar Nundu kuipiga bao kampuni ya China Communications construction Ltd ambayo tayari proposal yake imakubalika na serikali imesapata fedha toka Exim Bank China! Sasa sijui ni punda gani anaweza kuacha mradi ulioiva namna hiyo wa China Cummunications Construction Ltd akaenda kwa huu wa China Merchants Holdings ambao haujasema ni kiasi gani ita-finance hiyo miradi na kwa riba kiasi gani! hapa simply hii barua inaonyesha jinsi mawaziri wetu vilaza walivyo tayari ku-take risk na ku-subotage miradi mikubwa ya maendeleo ili mradi tu wamehakikishiwa kushibishwa matumbo yao na miradi fake inayokosa transparent bali kupitia kwa vimemo viinavyoweza kui-cost nchi kama mikataba ya umeme ta Tanesco! Omar Nundu lazma ajiuzulu manina.....!
Mh. Nundu kakosea nini hapa! Actually yeye ndiye anataka kunusuru nchi yetu kutoka kwenye hujuma hisiyo kifani, what is CCCC, kwani Exim Bank China imetoa fedha na shinikizo la kusema lazima CCCC ndiyo ipewe tender ya kujenda maghati, one may ask why pick on CCCC; kwa nini pasiwepo na ushindani uliyo wazi huko Uchina, tenda ikatangazwa huko Uchina na kampuni itakayo shinda iweze kujenga maghati. Waziri anachezewa kama mtoto mdogo na watu walio chini yake maanake nini, wanaondoka kwenda safari bila kutoa taharifa kwa Waziri na nyinyi mnaona hilo sawa.
Mh. Nundu ndiye kapewa dhamana ya kuongoza Wizara na Raisi, Waziri ana uwezo wa kufutilia mbali mambo ambayo hayakukaa sawa; mimi niliangalia ubishi uliyokuwepo kati ya mwenyekiti wa Kamati, Waziri na Mh.Mnyika mtu mwenye akili timamu unaona wazi wazi kwamba hoja anazo zitoa mwenyekiti hazija kaa sawa, watu walikuwa wamepania kumdhalilisha Mh.Nundu aonekane hafahi, kisa maghati; lakini Mh. Nundu alipo simama na kutoa ufanafanuzi watu tulig'amua ni kundi lipi lenye matatizo, mtu kama analitakia mema Taifa hili hasingesita kukubali kurekibisha kipengele kilicho kaa vibaya katika mambo ya mikataba kilekebishwe, hizo small prints ndizo zimeli-cost Taifa Dearly.
Mh. H. Rashid alitoa onyo la kweli kwamba Wachina wengi wa siku hizi siwa enzi za Mao na nikweli, Wachina wengine hawaogopi hata kidogo-leo hii Raisi wa Uchina apate habari kwamba kuna kampuni kutoka China inawapa ma-trip yasiyo na kichwa wala miguu viongozi wa Wizara inayotoa tenda za kujenga maghati, hilo likijulikana Wachina hao watapigwa risasi adhalani - wenzetu wako serious na mambo haya.
Mimi siko overly concern na uharaka wa kusema eti wapewe CCCC kwa kuwa Wakenya wanajenga Bandari/maghati Lamu, sijuhi Msumbiji nini -visingizio chungu mzima. Namuomba Mh.JK amuache Mh. Nundu afanye kazi zake kwa amani, mtu hata ukimwangalia usoni Mh.Nundu unamuona yuko sincere, wasilete mambo ya kumvuruga wizara kwa ajili ya maslahi yao yasiyo na tija kwa TAIFA, mimi naona kitu cha kufanya ni kubadirisha watendaji wakuu pale wizarani na TPA; wapewe kazi nyingine nje ya wizara, bila kufanya hivyo Waziri atapata wakati mgumu - watu hawa wako well organised.
Industry rule number 4080, big long term contracts are shadyyyyyyyy.
Na hivi tulivyokuwa tumejaza vilaza wanaopenda rushwa unaweza kujikuta umeingia katika IPTL nyingine ambayo inafanya badala ya kulipwa kodi sie ndio tunaishia kuwalipa wao kwa miaka 45.
Matokeo yake baada ya miaka michache tunaanzisha kesi kwa mkataba ambao tumeutia sahihi wenyewe.
Bandari wana kesi kubwa inaendelea kwa upuuzi kama huu, they should know.