Uliza kwanza kama serikali yako inamlipa mkandarasi.Hii kampuni ya ujenzi wa barabara yenye makao yake pale Bwiru road Mwanza itakuwa na bahati sana.
Kila wakati inalalamikiwa sana kwa kuchelewesha miradi ya barabara lakini bado inapewa tenda.
Makonda kaisema sana kuhusu barabara ya Kitunda to Kivule mpaka katishia kutoipa tena Kazi mkoani Dar
Lakini pia kampuni hii ilipewa kazi ya kutengeneza Barabara ya Nyakanazi Kakonko mpaka Kibondo miaka mitano iliyopita. Lakini mpaka leo hakuna hata km30 zilizojengwa. Wakaazi wa Kigoma na Kagera hasa wilaya za Bihalamuro, Kakonko na Kibondo wanapata taabu sana. Barabara hiyo ni diversions to mpaka Kalenge.
Barabara za Musoma mjini nazo pia hoi na ni kampuni hiyo hiyo walipewa tenda. Au kuna kitu hatujui kuhusu kampuni hiyo. Inaweza kuwa ni kampuni ya serikali lakini hatujui.
Jibu la hajaUliza kwanza kama serikali yako inamlipa mkandarasi.
Fanya homework yako.
Mkuu yani hiyo kampuni ni janga kubwa kwa wakazi wa kibondo na nyakanazi barabara yao Bado haijakamilika tangu 2015 na hakuna kinachoendeleahata waziri mkuu alishaitishia kuinyima kazi lakini baadae alionekana kunyongonyea siyo tu waziri mkuu mbarawa akiwa kwenye wizara ya ujenzi aliisema Sana lakini hakuna kilichofanyikaHii kampuni ya ujenzi wa barabara yenye makao yake pale Bwiru road Mwanza itakuwa na bahati sana.
Kila wakati inalalamikiwa sana kwa kuchelewesha miradi ya barabara lakini bado inapewa tenda.
Makonda kaisema sana kuhusu barabara ya Kitunda to Kivule mpaka katishia kutoipa tena Kazi mkoani Dar
Lakini pia kampuni hii ilipewa kazi ya kutengeneza Barabara ya Nyakanazi Kakonko mpaka Kibondo miaka mitano iliyopita. Lakini mpaka leo hakuna hata km30 zilizojengwa. Wakaazi wa Kigoma na Kagera hasa wilaya za Bihalamuro, Kakonko na Kibondo wanapata taabu sana. Barabara hiyo ni diversions to mpaka Kalenge.
Barabara za Musoma mjini nazo pia hoi na ni kampuni hiyo hiyo walipewa tenda. Au kuna kitu hatujui kuhusu kampuni hiyo. Inaweza kuwa ni kampuni ya serikali lakini hatujui.
Malalamiko ni mengi sana kuhusu hii kampuni. Kuna sehemu nilisoma kwamba kuna mtu MZITO ambaye ana hisa hapo. Sijawahi kufahamu huyo mtu MZITO ni nani.Hii kampuni ya ujenzi wa barabara yenye makao yake pale Bwiru road Mwanza itakuwa na bahati sana.
Kila wakati inalalamikiwa sana kwa kuchelewesha miradi ya barabara lakini bado inapewa tenda.
Makonda kaisema sana kuhusu barabara ya Kitunda to Kivule mpaka katishia kutoipa tena Kazi mkoani Dar
Lakini pia kampuni hii ilipewa kazi ya kutengeneza Barabara ya Nyakanazi Kakonko mpaka Kibondo miaka mitano iliyopita. Lakini mpaka leo hakuna hata km30 zilizojengwa. Wakaazi wa Kigoma na Kagera hasa wilaya za Bihalamuro, Kakonko na Kibondo wanapata taabu sana. Barabara hiyo ni diversions to mpaka Kalenge.
Barabara za Musoma mjini nazo pia hoi na ni kampuni hiyo hiyo walipewa tenda. Au kuna kitu hatujui kuhusu kampuni hiyo. Inaweza kuwa ni kampuni ya serikali lakini hatujui.
Malalamiko ni mengi sana kuhusu hii kampuni. Kuna sehemu nilisoma kwamba kuna mtu MZITO ambaye ana hisa hapo. Sijawahi kufahamu huyo mtu MZITO ni nani.
Hyo ni kampuni ya Maghufuli, alinunua vifaa toka Kwa waitaliano wa Astard waliojenga kipande cha Kutoka Nyanguge mpak mwanza mjin toward airport mwanzoni mwa miaka ya 2000..
Lakn mpak leo hakuna repair kwenye vifaa vyao , vimechoka vibaya....ukiachilia mbali pesa ya miradi kuchelewa lakn pia wapo narrow Sana kurun project nying nying Kwa mpigo....wingi wa miradi unazidi uwezo wao wa kuhudumia
Omba maxence ashinde kesi akishindwa wafwa,Hyo ni kampuni ya Maghufuli, alinunua vifaa toka Kwa waitaliano wa Astard waliojenga kipande cha Kutoka Nyanguge mpak mwanza mjin toward airport mwanzoni mwa miaka ya 2000..
Lakn mpak leo hakuna repair kwenye vifaa vyao , vimechoka vibaya....ukiachilia mbali pesa ya miradi kuchelewa lakn pia wapo narrow Sana kurun project nying nying Kwa mpigo....wingi wa miradi unazidi uwezo wao wa kuhudumia
Kwanza TV wamefungiwa kwa kuandika jina moja la mtu maarufu na kuzuia taharuki.Sasa wewe unataka balaaHyo ni kampuni ya Maghufuli, alinunua vifaa toka Kwa waitaliano wa Astard waliojenga kipande cha Kutoka Nyanguge mpak mwanza mjin toward airport mwanzoni mwa miaka ya 2000..
Lakn mpak leo hakuna repair kwenye vifaa vyao , vimechoka vibaya....ukiachilia mbali pesa ya miradi kuchelewa lakn pia wapo narrow Sana kurun project nying nying Kwa mpigo....wingi wa miradi unazidi uwezo wao wa kuhudumia
Hyo ni kampuni ya Maghufuli, alinunua vifaa toka Kwa waitaliano wa Astard waliojenga kipande cha Kutoka Nyanguge mpak mwanza mjin toward airport mwanzoni mwa miaka ya 2000..
Lakn mpak leo hakuna repair kwenye vifaa vyao , vimechoka vibaya....ukiachilia mbali pesa ya miradi kuchelewa lakn pia wapo narrow Sana kurun project nying nying Kwa mpigo....wingi wa miradi unazidi uwezo wao wa kuhudumia
Hahaha akishindwa tunachomoa betri a.k.a kuzima saver, na kila mtu anabaki salama.Omba maxence ashinde kesi akishindwa wafwa,
Hyo barabara inapita ziwani?Hata barabara ya Bunda mpaka ukerewe bado haijakamilika miaka 7 sasa
Iwe kampuni ya Pombe halafu Bashite aikoromee? Labda iwe usanii fulani kupoteza maboya.Hyo ni kampuni ya Maghufuli, alinunua vifaa toka Kwa waitaliano wa Astard waliojenga kipande cha Kutoka Nyanguge mpak mwanza mjin toward airport mwanzoni mwa miaka ya 2000..