Nyanya zimepanda bei ghafla

chija

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
276
65
Habari wakuu,

Wanajamii hivi kulikoni nyanya zimepanda bei kwa ghafla namna hii?
 
Mkuu tulianza hayo long time kitambo, basin likipasuka weka udongo na mbolea mwaga mbegu za nyaya.

Mkuu huku mjin hawataki hizo kabisa na matembere nyuma ya vyoo skuiz ni chemba sijui kuna sintofahamu / taaruki ya maisha kwa sasa
 
Hahahahaha sio kwenye chumba ni nyumba za kisasa ule uchaf wa miaka ile ya kuswak nje nyuma ya choo hakuna huku mkuu kila kitu fresh tutakoma
Haha, hata matembele unaweka kwenye basin, mchicha kwenye ndoo ili mradi.
 
nyanya inalipiza kisasi,

mwaka jana ilimwaga sawa na hasara,

4=1000tsh Htari
 
mbona hizo ndoo zinakaa juu ya sakafu hazina shida.

mkuu huo mchicha ? utaula siku ngapi ? kwanza silagi ugali so matembere na michicha nagongana nayo bahat mbaya tu

swala hapa nikujiuliza kwanini mwaka hadi mwaka vitu TZ vinapanda tu ?
 
mkuu huo mchicha ? utaula siku ngapi ? kwanza silagi ugali so matembere na michicha nagongana nayo bahat mbaya tu

swala hapa nikujiuliza kwanini mwaka hadi mwaka vitu TZ vinapanda tu ?
Huelewi unachokosa kwenye mchicha mkuu.
 
Back
Top Bottom