Ulikua na miaka mingapi mda huo?Hao ngedere acha kabisa, nikiwa mdogo walianza kunichenjia na kutaka kuninyang'anya mdogo wangu aliyekuwa na miez mitatu.
Wana mikwara hatar hao
Ulikua na miaka mingapi mda huo?
Unadhani!!!! kwa nini udhani wakati mwenyewe yupo subiri ajibuNadhani Alikuwa Na Miaka 73 Hivi.
chini ya saba.Ulikua na miaka mingapi mda huo?