NYANI MKINDU NIMERUDI TENA

nyani mkindu

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
537
975
Wakuu habari za siku nyingi humu jukwaani, ninaimani wote ni wazima wa afya na awali kabla ya yote napenda sana nitoe pole kwa members wote tuliokuwa nao na leo hii hawapo humu jukwaani ama ni wagonjwa au wametangulia mbele za haki kama ndugu yetu YONA .F. MARO na kaka yetu mpendwa MWALIMU DEOGRATUS NALIMI KISANDU ambaye yupo mahabusu ivi sasa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mitandao.
Na pia natoa shukrani za dhati kwa wote waliokuwa wakiniulizia juu ya ukimya wangu wa zaidi ya miezi minne umu jukwaani nimefarijika sana kwamba ndani ya muda mfupi umu jukwaani nimeweza kutambulika na baadhi ya watu ambao hata sikutegemea kama wangeweza kuniulizia.

nadhani wapo baadhi ya members ambao mmekaa na mnajiuliza uyu nyani mkindu ni nani? Nyani mkindu ni JF EXPERT MEMBER. ni cheo ambacho niliweza kukipata ndani ya siku 10 tangu nijiunge na JAMII FORUMS. Nina imanikutokana na umahiri wangu wa kupanda majukwaa tofautitofauti umu JF ndani ya hii miezi minne ambayo nilikuwa kimya ningeweza kupata hata cheo cha juu zaidi ambacho niliwahi kukipendekeza cheo cha JF ADICTED MEMBER
 
4a548410cd53e79afccbba2d0ee42f51.jpg

Karibu sana
 
FB style........
 
Back
Top Bottom