Nyani aamua kumlea paka aliyetelekezwa

Nyani aamua kumlea paka aliyetelekezwa

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,423
Reaction score
8,367
Nyani aonyesha upendo wa hali ya juu, kwa kuamua kumlea paka aliyetelekezwa

Monkey &cat.jpg
 
Sidhani kama hayo mapenzi yatadumu sana.
 
Paka ana majnun huyo........sijapata kuona........

Haya sio malezi something weird is happening anagalia picha ya mwisho mkono wa nyani na exhaust ya paka! Laana ipo mpaka kwa wanyama siku hizi
 
Haya sio malezi something weird is happening anagalia picha ya mwisho mkono wa nyani na exhaust ya paka! Laana ipo mpaka kwa wanyama siku hizi

Daaaa ila we lijamaa wewe...nimekupigia salute kwa uchunguzi.upo makini sn.ile pekua pekua ya nyani maeneo km yale yanatoa taarifa ya ziada zaidi ya malezi
 
Daaaa ila we lijamaa wewe...nimekupigia salute kwa uchunguzi.upo makini sn.ile pekua pekua ya nyani maeneo km yale yanatoa taarifa ya ziada zaidi ya malezi

Umenishekesha sana
 
Back
Top Bottom