Nyangumi afia pwani ya Mtwara

Nyangumi afia pwani ya Mtwara

Dah! Bado tuna safari ndefu, yaani unakuta kitu kimejifia unakimbilia kitoeo.

Kwa Uislam wameharamishiwa kula kibudu au nyama mfu ila samaki ni halali kama umejua hana sumu iliyomuua au yeye mwenyew siyo.samaki wa sumu.
 
Dah kitoweo hicho,,,inapendeza unadaka kilo nyingi tia kwenye friji.

Kama unataka kuwa shoga mkuu, basi tafuna nyama ya nyangumi...

Nyama yake huongeza vichocheo vya estrogen na kupunguza kiwango cha uzalishwaji manii...
 
10592683_10154527572230125_6292164216902938518_n.jpg


"Ofisa Uvivu Manispaa ya Mtwara-Mikindani, Saidi Abdallah aliwataka wakazi wa Msangamkuu kutomla samaki huyo kwa kuwa ni sumu, badala yake watumie mafuta yake ambayo ni dawa ya misuli"

Hapa naona kama hili agizo la Afisa uvuvi wa Manispaa limekuja very late maana ni kama wakazi wa eneo husika wameshajipanga kwa tafrija
 
Well said mkuu... Tatizo watanzania tumekuwa wajinga kishabikia mambo ambayo hayahamui hatma ya maisha yetu ya kila siku. Sidhani kama hili la serikali mbili au tatu litaongeza kipato kwa mtanzania wa kawaida zaidi ya hao wanasiasa..

Pia watanzania hatupendi udadisi na kuinvest katika vitu kama hivyo, tunapenda biashara za kuigana na zile zinazotuma faida haraka

Tusilaumiane sana jamani ndugu zangu,kinachotu gharimu watanzania na wafrika kwa ujumla nikuwa hatujui tunataka nini,pia tunapo chagua viongozi hatujui tunataka watufanyie nini kabla ya wao kutuambia watatufanyia nini..tukiweza kujibu haya tutatoka hapa tulipo
 
Mzee mwezangu ukiokota hii kitu Bhaaaasssss....umetoka hata Bakhresa atakuwa dogo kwako!

kg 1 ya ambari ni $20000 mkuu mimi nishawahi kubahatika letewa na jamaa toka mafia tungajaribu uza dar tukakosa bei nzuri mwishowe jamaa wenye mzigo wakaenda uza mombasa kenya walipata bei nzuri sana hko kurudi huku jamaa sijawaona tena.....
 
Ndo nini hiyo.embu nielekeze nianze michakato mapema ya survey ya location ya kaburi lake.

iko kama majani yaliyokauka yameviringishwa pamoja au kama kinyesi cha ngombe hivi no bahati sana kukutana nayo mm nlikutana nayo mara moja tu na tukashindwa iuza ina soko sana uarabuni huko na wao wananunua, syo kitu cha kutafuta utaangaika sana kuipata inatokea tu mkuu
 
Baadhi ya wananchi walinadaiwa kuvamia mzogo huo na kunyofoa baadhi ya viungo vyake vinayosadikika kuwaongezea bahati katika maisha.

Mbali na wengine kuvitumia viungo vya mnyama huyo kwa ushirikina inasemekana masharti ya matumizi yake huwapa watu utajiri mkubwa.
Mkuu lazima wanyofoe, siunajua washazoea chamaki nchanga!!!!!
 
waarabu wanasema ni dawa hiyo ambari ambayo nyangumi huwa anaitema na huwa inapatikana pembezoni mwa bahari mkuu, kuna wakati mm nlikuwa na mradi wangu mafia nlikuwa asubuhi natembeaa pembeni mwa bahari umbali mrefu ku ona kama ntaiipata hiyo lakini wapi nkakosa.. kerubi afunikaye
 
Last edited by a moderator:
Baadhi ya wananchi walinadaiwa kuvamia mzogo huo na kunyofoa baadhi ya viungo vyake vinayosadikika kuwaongezea bahati katika maisha.

Mbali na wengine kuvitumia viungo vya mnyama huyo kwa ushirikina inasemekana masharti ya matumizi yake huwapa watu utajiri mkubwa.

Daah kweli malimwengu tuna imani tofauti kweli kweli..
 
Aisee hapo wamenufaika hao wakazi maana wao hubugia chochote, kama China.
 
umeongea vitu vya msingi sanasana!

QUOTE=Zinjathropus;10549086]You can see why some us get irritated with the government idea of promoting the nation seasonal blessing to boost tourism internal and abroad; hivi inakuaje wakazi wa Mtwara tu awajui kama kipindi hikip Nyangumi wanakusanyika kwa wingi mafia kwa sababu za uzazi?

Kwa baraka za Tanzania madini ni bonus tu ukubwa wake, urefu wa bahari na mazingira yanaweza toa another perspective of exotic holiday should the government choose to invest, ukijumlisha na ardhi yenye rutuba, vivutio vyawanyama second to none in the world you dont need a magician to tell you what is wrong with this nation its simply a matter of lacking ideas.

chole%20whale.jpg


mzungu huyo akiogelea na nyangumi Mafia Ireland.

Mtu unakuja kujua vitu vingi kwa google maana shuleni amfundishwi mambo hayo; kwa mfano didn't know either Tuna wanapatikana Tanzania kwa wingi na wanapenda kuja kuzalia kwenye maji ya mipaka yetu sasa why on earth are we still obsessed with dagaa, hivi tuna mmoja wanakula watu wangapi or how many ways a tuna can be eaten plus business opportunity if you chose to package it for starters it is a favourite fish when it comes to sandwiches, yaani sielewi kwanini tumekazana na habari za katiba badala ya kupigania maendeleo.[/QUOTE]
 
wanasema nyangumi anatemaga kitu kinaitwa "ambari" hebu ichekino hyo ina thamani sana

Hivi nyangumi ndio anatoa ambari....Manake hadithi za ambari unaweza kukesha pwani unaisubiri ili ujikwamue kiuchumi...
 
Hivi nyangumi ndio anatoa ambari....Manake hadithi za ambari unaweza kukesha pwani unaisubiri ili ujikwamue kiuchumi...

mimi nishaiona mara na nililetewa na jamaa huko tukaja dar kutaka kuiuza na kuna mpemba mmoja yuko ana ishi msasani penisula ana deal nayo kununua......inatokea mara chache sana au ni iama bahatI kuipata..ila kwa sababu na mimi nilikiuwa nafanya kazi za baharini nlikutana nayo hiyo kitu
 
Hivi inaruhusiwa kuvua nyangumi? Kweli bongo ni nchi ya ajabu wajameni...
 
Back
Top Bottom