Kama unataka kuwa shoga mkuu, basi tafuna nyama ya nyangumi...
Nyama yake huongeza vichocheo vya estrogen na kupunguza kiwango cha uzalishwaji manii...
Dah! Bado tuna safari ndefu, yaani unakuta kitu kimejifia unakimbilia kitoeo.
Ha ha ha,hakuna samaki ambaye hajifii. Wewe unaweza chinja samaki?
Mmmmmhhh...kwa heriWatu wa mbele huko huwa wanamla lakini nyama yake inaaminika kuwa na sumu....
Na matumizi ya muda mrefu kwa wanaume hupelekea uchoko na uhanithi...
We ----- kweli wewe estrogen kwenye maziwa hapo?? Ushoga unaanzia kwenye mindset ya mtu. Kama hii yako.
Post yako inafikirisha aisee.Ukila samaki,automatically umekula mzoga maana samaki wanakufa wenyewe baada ya kuvuliwa kwenye maji ha ha haa,duh!