Myfancyface
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 948
- 900
Wasukuma wamewasili huko katavi, rukwa, mbeya na ruvuma wakapachangamsha ndipo mkaanzisha na uzi.
Miaka 50 ijayo katati watakuwa wasukuma kwa 100%, na mikoa mingine tutasambaa kama ukimwi.
Nb. Kila tukifika maeneo yenu tunawapelekea moto dada na wake zenu hadi wazae, tunajichanga tunajenga shule shikizi huko maporini, tunawalazimisha kuongea kisukuma na kuoa wake wengi.
Mbeya ina Wakinga hao Wasukuma wa kuchangamsha hawapo. Mada iko wazi, Nyanda za juu kuna fursa kuliko Kanda ya Ziwa