Nyampulukano Sec School.

victer

Member
Jun 23, 2012
58
9
Habarini za kwenu wanajamvi.. ni matumaini yangu mu wazima wa buheri kabisa.... Naitwa Mwl. Victor Nyanda ni mwl mtarajiwa wa shule ya secondary nyampulukano iliyoko sengerema mkoa wa mwanza... sa naitaji kuijua kiundani zaid kwa mwenye uelewa juu ya shule hhii anipe mwang bhasi.. asanteni.
 
Ni shule nzuri mno hiyo ipo mjini Sengerema ina accommodation kila kitu ipo karibu na Sengerema secondary school Hongera kwa kuchaguliwa shule hiyo
 
Wala usihofu mr victor, Nyampurukano ipo mjini sengerema kabisa may be kama hupendi kuishi town. Wewe mwenyeji wa wapi??
 
Hata kama ingekua kijijini ningeenda tu sina kiburi cha kugoma kwenda kwa maisha niliyoyaishi toka nimalize chuo 2015.. nashukuru kwa infor ndg angu
 
Ilifunguliwa nahisi mwaka 1990 au 1991 kama sikosei(nilikuwa Sengerema high school wakati huo) ikiwa ya wasichana tu ila siku hizi nasikia ni Co-edu.Rahisi kurush Mwz over the weekend na ukipenda unaweza kuwa unaishi mwanza na kufanya kazi na kurudi kama ilivyo kwa wana Kibaha wanaofanya kazi Dar(Do not opt for this,it attracts some $$)
 
Asante sana mkuu... kuishi mwanza afu nkafanye kazi sengerema mpaka nijipange kwanza kimaisha
 
Asante sana mkuu kwa taarifa..
 
Asante sana mkuu... kuishi mwanza afu nkafanye kazi sengerema mpaka nijipange kwanza kimaisha
Yap.kuna issue ya Ferri pia.Kuna kuvukia Busisi (lami tupu,long route),kuna kuvuka Kamanga (short route ila unafika umejaa vumbi kichwani kama utatumia usafiri wa umma).Nenda utapafurahia sana Sengerema.Wenyeji wake ni wakarimu.Vyakula vya kumwaga.Sato wa kutosha.....
 
Ntakaa huko huko sengerema kwanza...
 
Moja kati ya shule nzuri kufundisha, ilianzishwa 1990 ikiwa day, lakini kwa sasa imeboreshwa miundombinu yake, ni pazuri kuanzia Kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom