Nyampulukano Sec School.

Nyampulukano Sec School.

Duh......umepelekwa mjini kabisa huko mi nyumbani kabisa......hiyo ni shule ya wasichana na wavulana ila wameongeza na Advance hapo hivi karibuni.....ukiondoa Sengerema Sec.hiyo ndo shule kubwa na yenye elimu bora kwa sasa hapo Sengerema

Utafurahia sana maisha ya hapo na nakwambia hutofikiria kuhama maana kama ni kilimo utalima kama ni biashara utafanya kila kitu kinawezekana,uwe na maisha mema.....ukifika wasalimie huko aisee.....napamis sana huko!!!
 
mwl Victor Nyampulukano ina boarding kwa O levels?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom