Mkwara alionipiga Kaizer sio mchezo, natamani nikuforwardie sms. Na mpaka sasa hivi uhusiano wetu hujaimarika. So sitaki tugombane ila happy new year nimemtumia PJ sh. 5000 kama hela ya lambalamba kwa watoto.
Kuwa serious kidogo, umeona hiyo shule ambayo nyamayao alijibaraguza akapeleka vijana wake? Naongeza sifuri mwishoni 125,000/= toka kwa Carmel........ Kampeni inaendelea!
Mkwara alionipiga Kaizer sio mchezo, natamani nikuforwardie sms. Na mpaka sasa hivi uhusiano wetuhujaimarika. So sitaki tugombane ila happy new year nimemtumia PJ sh. 5000 kama hela ya lambalamba kwa watoto.
Mkwara alionipiga Kaizer sio mchezo, natamani nikuforwardie sms. Na mpaka sasa hivi uhusiano wetu hujaimarika. So sitaki tugombane ila happy new year nimemtumia PJ sh. 5000 kama hela ya lambalamba kwa watoto.
HEHEHE!
hivi kwa mfano mwanao anasoma hizo KAYUMBA PRIMARY SCHOOL,halafu jirani yako ana wanae wanasoma ST SMTHNG PRIMARY SKULI.utajisikiaje mwanao akikuomba umuhamishie shule anayosoma rafikizake?....