Nyamayao..Shule zimefungua leo...!

Hahaha! PakaJimmy! Hehehe! Weweee! Haya bana! Nimekugongea kale ka fevareti batani kangu! Nyamayao labda bado anabangaizia ada!



hiyo ishu inafanya cku hizi mtu unaambiwa "c unajua kuna ada"...bac majukumu ya kifamilia yamenilemea, nitakucal kwa kwa msaada wa kibinadamu...lol
 
dah, nimepta shock! kulikoni tena tobaa...nyamayao si alikuwa kwenye msiba wa MC Lema, sasa huko mwanza imekuwaje tena! lol


hiyo nayo kali mr, hivi nilikuaga ivyo au unazeeka vibaya?...nipo shy mzee.
 
PJ mwanza nilienda tu kwa matembezi, lakini likizo yangu ilikuwa shy, watoto huko arusha niliwaacha tu kwa ndugu yangu coz walikuwa wana safari ya kwenda ngorongoro for xmac, babu/bibi hawapo arusha bwana...njoro! halafu umechanganya habari sana, dar mie napita tu cna makazi kwa sasa...watoto wanafungua skul next week.

Hahahaaa..
Kumbe upo...
Ni raha sana...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom