Nyamayao..Shule zimefungua leo...!

sikulalia ubavu, jana nililalia mgongo

icon7.gif
........!
 
halafu ADA ni ''msiba'' mkubwa sana kwa wazazi wengi hapa dar!asilimia kubwa ya watoto wetu wanasoma ST ''SOMETHING''
 
sikulalia ubavu, jana nililalia mgongo

No moa komenti, manake ukianza zile stori zako za mitarimbo utachafua hali ya hewa humu ndani! Hivi taito ya hii thread inasemaje? Ahaa?
Nyamayao kawachukue wanao kwa PJ TAFWAZALI!
 
halafu ADA ni ''msiba'' mkubwa sana kwa wazazi wengi hapa dar!asilimia kubwa ya watoto wetu wanasoma ST ''SOMETHING''

G na wewe utafikia huku tulipo tu, utaona ishu zinavyokuwa tite linapofikia mambo ya skul kwa watoto, wifi inatakiwa awe mchakarikaji sana mana nyie ikifika wakati huu mkiambia kitu kidogo tu unackia " mie nawazia wanangu ada" ...hee hapo ni shughuli kwa mama kuhudumia home....
 
NA BORA UMEGUNDUA MAPEMA. lAKINI UKIULIZA SI SHURTI UJIBIWE?
 
Ni kweli, lakini jana ulipata Sakramenti? Naona leo umekuja kitakatifu sana! Umelalia mgongo! Thats Good!
Jamaani tuanzishe harambee: SAIDIA NYAMAYAO ACHUKUE WATOTO {SANYAWA}
 
Kwa kusaidia mchango, kwa vile inaaminika wako kwangu, mi sitamdai kitu chochote Nyamayao kwa kuwatunza over a month!..Ninachotaka tu, wawahi shuleni Tanganyika International School!
 
halafu ADA ni ''msiba'' mkubwa sana kwa wazazi wengi hapa dar!asilimia kubwa ya watoto wetu wanasoma ST ''SOMETHING''
Hapa kichwa kinaniuma! Manake January kamilioni lazima ukapeleke kwa watakatifu! Umeona PJ kakugongea SENKSI? Naye yumo kwenye hii listi! Utawatambua kwa matendo!
 
Kwa kusaidia mchango, kwa vile inaaminika wako kwangu, mi sitamdai kitu chochote Nyamayao kwa kuwatunza over a month!..Ninachotaka tu, wawahi shuleni Tanganyika International School!
Now I know! Ada! Kampeni ilitakiwa iwe Saidia Nyamayao Ada ya Watoto [SANYAWA]
 
G na wewe utafikia huku tulipo tu, utaona ishu zinavyokuwa tite linapofikia mambo ya skul kwa watoto, wifi inatakiwa awe mchakarikaji sana mana nyie ikifika wakati huu mkiambia kitu kidogo tu unackia " mie nawazia wanangu ada" ...hee hapo ni shughuli kwa mama kuhudumia home....
hehehe!
kuna umuhimu wa kuwa na vyanzo vingine vya hela
 
MMMMM kumbe mpo huku....mmm hiyo sanyawa iletwe huku kwetu pia!
Wapi mkuu?
Embu weka sawa hapo.
Maana gharama za kuwaendesha hawa watoto wa Nyamayao zimenifikia maji-ya shingo!..lol!
 
mi napledge 12,500/=
Kuwa serious kidogo, umeona hiyo shule ambayo nyamayao alijibaraguza akapeleka vijana wake? Naongeza sifuri mwishoni 125,000/= toka kwa Carmel........ Kampeni inaendelea!
 
Wapi mkuu?
Embu weka sawa hapo.
Maana gharama za kuwaendesha hawa watoto wa Nyamayao zimenifikia maji-ya shingo!..lol!

We utakuwa mwenyekiti, uhasibu ni idara yangu! Jamani, naprifaa keshi zaidi kuliko pleji!
 
hivi Nguli ina maana hujanimic hata kidunchu? sio ubinadamu huo, hata hujaniambia lolote hii new year?

Mkwara alionipiga Kaizer sio mchezo, natamani nikuforwardie sms. Na mpaka sasa hivi uhusiano wetu hujaimarika. So sitaki tugombane ila happy new year nimemtumia PJ sh. 5000 kama hela ya lambalamba kwa watoto.
 
mi napledge 12,500/=

UMEFIKIAJE HADI KUTAJA HIYO MINIMUM?

Lazima kuna basis fulani umetumia.

Lakini si haba, maana kama wanaJF wote wakichangia at least hiyo pesa, then we have:

number of jf members=8000*12500=100,000,000/=CASH.. wooooow!

Hey guys, hurry up, get such free blessings by contributing only 12,500!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom