Nyamayao..Shule zimefungua leo...!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Nyamayao

Salaam.

Kwa mara ya mwisho ulipita Arusha 23/12/09 ukiwa unaenda zako MOSHI na hatimaye UUNGANISHE kwenda Mwanza Vekesheni(mkiwa na mzee)

Nakumbuka uliwaleta na kuwaacha watoto wako kwa bibi/babu yao hapa Arusha, kwa nia kwamba ukirudi toka safari hizo uwapitie na kurudi nao Dar.

Imekuwaje hadi leo hurudi kuwachukua, na huku shule zimefungua?

Au wanasoma shule za mtaala wa Cambridge?

Achana na Mwanza bana rudi Dar, Samaki wa hapo watakunenepesha uonekane umekula nanihiino za wachina!
 
hahahahaha!
wewe mkorofi sana
 
Hahaha! PakaJimmy! Hehehe! Weweee! Haya bana! Nimekugongea kale ka fevareti batani kangu! Nyamayao labda bado anabangaizia ada!
 
Hahahaha nyamayao unalo hili
babu yao ndo wewe pj?
Mzigo umeanza kukulemea hahaha
 
dah, nimepta shock! kulikoni tena tobaa...nyamayao si alikuwa kwenye msiba wa MC Lema, sasa huko mwanza imekuwaje tena! lol
 
Hahahaha nyamayao unalo hili
babu yao ndo wewe pj?
Mzigo umeanza kukulemea hahaha

Hahaha! PJ mjanja sasa. watoto kamwagiwa yeye, anasingizia kamwagiwa babu! Lea watoto PJ, Nyamayao msanii, ndio unalo hilo tena!
 
inaonekana, PJ ndio babu yao. mzigo wa matunzo umekulemea nini? Nyamayao wahi bwana mwenzio kazidiwa na xpenses esp kama vikid vyenyewe vimezoea kula sausages na mikuku lol!
 
inaonekana, PK ndio babu yao. mzigo wa matunzo umekulemea nini? Nyamayao wahi bwana mwenzio kazidiwa na xpenses esp kama vikid vyenyewe vimezoea kula sausages na mikuku lol!

Na wewe jana ulilalia ubavu gani? PK ndio gesti ya wapi hii?
 
Hahaha! PJ mjanja sasa. watoto kamwagiwa yeye, anasingizia kamwagiwa babu! Lea watoto PJ, Nyamayao msanii, ndio unalo hilo tena!

Jameeni...si mimi(ninakana kama Petro alivyomkana Jesus)...
Mi siye babu yao wala babayao wa kusingiziwa!
 
Nyamayao

Salaam.

Kwa mara ya mwisho ulipita Arusha 23/12/09 ukiwa unaenda zako MOSHI na hatimaye UUNGANISHE kwenda Mwanza Vekesheni(mkiwa na mzee)

Nakumbuka uliwaleta na kuwaacha watoto wako kwa bibi/babu yao hapa Arusha, kwa nia kwamba ukirudi toka safari hizo uwapitie na kurudi nao Dar.

Imekuwaje hadi leo hurudi kuwachukua, na huku shule zimefungua?

Au wanasoma shule za mtaala wa Cambridge?

Achana na Mwanza bana rudi Dar, Samaki wa hapo watakunenepesha uonekane umekula nanihiino za wachina!

PJ mwanza nilienda tu kwa matembezi, lakini likizo yangu ilikuwa shy, watoto huko arusha niliwaacha tu kwa ndugu yangu coz walikuwa wana safari ya kwenda ngorongoro for xmac, babu/bibi hawapo arusha bwana...njoro! halafu umechanganya habari sana, dar mie napita tu cna makazi kwa sasa...watoto wanafungua skul next week.
 
Ha ha ha ha Nimecheka sana, kuna haja ya hao watoto kupimwa vina saba(DNA) .

Tumefika huku tena wakuu?

Labda niwaambie kwamba simjui huyu mdada hata kwa sura, ni jeiefu TU ILIYOTUUNGANISHA!...TE..HEE..TE HEE!
 
PJ mwanza nilienda tu kwa matembezi, lakini likizo yangu ilikuwa shy, watoto huko arusha niliwaacha tu kwa ndugu yangu coz walikuwa wana safari ya kwenda ngorongoro for xmac, babu/bibi hawapo arusha bwana...njoro! halafu umechanganya habari sana, dar mie napita tu cna makazi kwa sasa...watoto wanafungua skul next week.

Uko na mzee huko uliko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom