Nyamayao..Shule zimefungua leo...!

Hahaha! PakaJimmy! Hehehe! Weweee! Haya bana! Nimekugongea kale ka fevareti batani kangu! Nyamayao labda bado anabangaizia ada!



hiyo ishu inafanya cku hizi mtu unaambiwa "c unajua kuna ada"...bac majukumu ya kifamilia yamenilemea, nitakucal kwa kwa msaada wa kibinadamu...lol
 
dah, nimepta shock! kulikoni tena tobaa...nyamayao si alikuwa kwenye msiba wa MC Lema, sasa huko mwanza imekuwaje tena! lol


hiyo nayo kali mr, hivi nilikuaga ivyo au unazeeka vibaya?...nipo shy mzee.
 
Hahaha! PJ mjanja sasa. watoto kamwagiwa yeye, anasingizia kamwagiwa babu! Lea watoto PJ, Nyamayao msanii, ndio unalo hilo tena!


jina lenyewe c unaona lilivyo la kisanii?...
 

Hahahaaa..
Kumbe upo...
Ni raha sana...!
 
Hahaha! PJ mjanja sasa. watoto kamwagiwa yeye, anasingizia kamwagiwa babu! Lea watoto PJ, Nyamayao msanii, ndio unalo hilo tena!

hahahah mbaya zaidi ni watoto wa Kaizer sipati picha kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…