Kuna habari nimezipata muda si mrefu kutoka Mwanza zikieleza kuwa matokeo ya Nyamagana yamegeuzwa na kwamba sasa msimamizi wa uchaguzi ana mpango wa kumtangaza Masha kama mshindi wa uchaguzi jimbo la Nyamagana! Nasikia watu wamekasirika na biashara sehemu kubwa zimefungwa. Wenya taarifa zaidi watupashe.