Nyamagana kwa Masha Vipi Tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyamagana kwa Masha Vipi Tena?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jobo, Nov 1, 2010.

 1. J

  Jobo JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna habari nimezipata muda si mrefu kutoka Mwanza zikieleza kuwa matokeo ya Nyamagana yamegeuzwa na kwamba sasa msimamizi wa uchaguzi ana mpango wa kumtangaza Masha kama mshindi wa uchaguzi jimbo la Nyamagana! Nasikia watu wamekasirika na biashara sehemu kubwa zimefungwa. Wenya taarifa zaidi watupashe.
   
 2. H

  Howdesi Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Haiwezekani, wenje wa CHADEMA kamuacha mbali sana. Ila umati mkubwa wamevamia ofisi za jiji wakiwa na mawe, fimbo, petrol, rungu wanadai matokeo la sivyo ofisi ya mkurugenzi wa jiji inachomwa. Nipo mwanza nimeshuhudia mwenyewe saa saba hii
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mbaya sana hii!
   
 4. Butterfly

  Butterfly Senior Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kwanini hawatangazi mara wanapomaliza majumuisho?????? This is ridiculous!!!!:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Bora mwanza ilipuke kuliko dhuruma ,wanayotaka kuifanya CCM!!!
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  Upo mkakati wa CCM wa kuyakataa matokeo na kudai kura zihesabiwe upya na kuna wasiwasi yaelekea maboksi wamekwisha kubadilishwa........
   
 7. K

  KipimaPembe JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 5, 2007
  Messages: 1,287
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kuhesabiwa upya kura iwe ni dhambi kubwa! Masanduku yameshakaa mahali ambapo hayakuwa chini ya uangalizi. Ni afadhali wakatae uchaguzi wote urudiwe, na hapa ndo wanakiona cha moto. Lakini kung'ang'ania kura kuhesabiwa tena ni kuwafanya watu wajinga. Kura zilihesabiwa mbele ya mawakala wao na wakakubali kuwa hayo ndo matokeo. Sasa hivi wanaamini ni nini kimebadilrika? Hayo maboksi yatakayohesabiwa upya si yale yaliyopigiwa kura na wananchi, yatakuwa ya kwao waliojipigia kura wenyewe. Re-count isikubaliwe. Kulikuwa na nafasi ya kufanya recount pale pale siku ile ile kwa masanduku yale yale yaliyopigiwa kura na wananchi.

  Kwa nini reccount ziwe zinaombwa na wagombea ambao hata hawakuwepo wakati zinahesabiwa kura? CCM hawawezi kuona aibu. Watafanya chochote kuhakikisha wana-hang on power!
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Bora mwanza waingie msituni
   
 9. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hamna aja yakuingia msituni.. Mapanga ale huyo huyo Masha...
   
 10. mvingira

  mvingira Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Dhambi ya wizi wa kura ni kama dhambi ya kula nyama ya mtu. CCM mtalaaniwa sana kwa haya mnayotaka kuyatenda
   
Loading...