Nyama Pori

LAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
4,400
Reaction score
1,317
Katika kipindi hiki cha sikuku za xmass na mwaka mpya nimepata hamu kubwa sana ya kula nyama ya wanyama wa porini kama pofu, swala, ngiri, twiga, nyati, kongoni, ndezi, mamba, mbuni n.k

anayefahamu wapi nyama hizi zinapatikana either iliyotayarishwa au mbichi atujuze

i wish you a prosperous new year
 
Nguruwe wa porini a.k.a 'pungo' hujamtamani?
 
duh, haya bwana.
Mie nawaogopa
nimekulia posta pale jengo la NIC.
 
aluuu....karibu kijijini kwetu Robanda hapa.......utakinai....
si unajua juzi juzi hapa nyumbu walipita.......tuna vimolo vya kutosha ghalani.......
kama huna nauli sema nikutumie kwa m-pesa.......

aluuu....karibu kijijini kwetu Robanda hapa.......utakinai....
si unajua juzi juzi hapa nyumbu walipita.......tuna vimolo vya kutosha ghalani.......
kama huna nauli sema nikutumie kwa m-pesa.......

ni wapi hapo mkuu

nikipata hata nyumbu nitashukuru sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…