jamaa mmoja alikua anamtaka demu flani hivi lakini yule dem alkua hamtaki, cku moja jamaa alienda nyumbn kwao yule demu alipofk akakuta yule demu anafua chupi zake nyingi kwenye beseni, jamaa akaomba maji ya kunywa, yule demu bila hiyana akaingia ndani kumletea maji..kutoka nje akamkuta yule jamaa anakunywa yale maj ya kwnye beseni anayofulia chupi,alipouliza jamaa akamjibu, nyama sijala hata supu nayo nisinywe?