Nyama na samaki inaruhusiwa kwa wenye Ulcers

Nyama na samaki inaruhusiwa kwa wenye Ulcers

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,202
Reaction score
1,296
Wakuu poleni na mihangaiko.

Me niliumwaga ulcers yaani Niko kwenye dozi za hospitali Ila hali haijatengamaa.

Naomba kuuliza kwa mtu mwenye ulcers anaruhusiwa kula nyama na samaki?

Vipi kuusu dagaa na maharage meupe?

Msaada please!
 
Kama unajipenda; chemsha mayai mawili, chemsha mdalasini weka kijiko cha asali hii ni break

steam cabbage weka chumvi kwa mbali katia parachichi juu. Hii ni lunch.

Steam viazi vitamu na pili pili hoho hii ni dinner.

Kunywa maji mengi.
 
Back
Top Bottom