Nyama kilo mtaani kwenu bei gani?

Nyama kilo mtaani kwenu bei gani?

Sasa nyama you naenda kwa wajomba nyie lazima ipande Mara dufu kwa wajomba Bei imepungua angalau wanakula vitunorganic na fresh kutoka longido na minadani....mitano tena
 
Hali ni hatari, kwa hapa Masasi bei ya nyama ni tsh 15,000
Stake na tsh 12,000. mchanganyiko. Ni mwendo wa MBAAZI tu kwa kwenda mbcle...
 
Punguza tu kula nyama
Wenyewe wapunguza bei

Ova
 
Huku Goba kwetu nyama kilo ni 13000 na ile ya Grade one steki ni elfu 15

Kwenu bei ipoje?

Asante Daktari Samia hakika unaupiga mwingi kwani ulipoingia Nyama kilo ilikua 5000 sasahivi ni elfu 15 samia hoyee

Mitano tena ili nyama ifike elfu 50 kilo!?

Kwenu bei ipoje?
Niko njiani
Mikoani wapi taja huko. bei ya nyama kilo sh. 5600
Shinyanga
 
Back
Top Bottom