GE2025 Nyalandu: Tunu ya tafa ni amani upendo na mshikamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Jamii hasa vijana, wamekumbushwa kutambua kwamba tunu ya pekee katika taifa ni amani, upendo na mshikamano hasa katika kipindi hiki kuelekea zoezi la kupiga kura na kwamba ni jukumu la kila mmoja kulinda na kuhakikisha uwepo wa amani hiyo.

Hayo yamebainishwa leo Oktoba 20, 2025, na aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii hapa nchini, Lazaro Nyalandu, alipokuwa akizungumza katika kongamano la amani la viongozi wa dini mbalimbali linalofanyika mkoani Mwanza.

“Tuwakumbushe vijana wetu, waumini wetu, kwamba hakuna tunu muhimu katika Taifa zaidi ya amani, upendo na mshikamano. Tunapofanya zoezi hilo la kupiga kura, tunapowasisitiza watoke, basi tuhakikishe kila mtu anailinda hiyo amani, anashiriki katika upendo wa watanzania na anafanya zoezi la haki yake ya kupiga kura” amesema Nyalandu.

Amesema ipo haja ya Tanzania kuendelea kulea imani zote za dini, ambapo nchi pamoja na mamlaka husika zinajipambanua kukosa udini, badala yake kuruhusu amani na uhuru kwa watu wote pamoja na kuendelea kuishi kwa amani.

Kongamano hilo limeandaliwa na Kamati ya amani ya viongozi wa dini mbalimbali mkoa wa Mwanza, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Said Mtanda, likiwa na mada isemayo “Uchaguzi ni Muda wa Maamuzi, Tushiriki Sote. Tudumishe Amani na Mshikamano kwa Maendeleo ya Taifa”
 
“Tuwakumbushe vijana wetu, waumini wetu, kwamba hakuna tunu muhimu katika Taifa zaidi ya amani, upendo na mshikamano.
Huo ushauri angeelekeza kwa watawala maana ndo wamepotoka na ndo wavunjifu wa amani
 
Hayo yote yatatoka wapi endapo chama tawala kimejaa mafisadi na serikali yake iko mstari wa mbele kunyanyasa watu?

Juzi tu hapa wamemzuia John Heche kwenda kwenye mazishi ya Raila Odinga.

Polepole wameshamteka na si ajabu keshauwawa.

Mdude Nyagali naye alitekwa na bado hajulikani alipo. Labda keshauliwa.

Tundu Lissu wamemfungulia kesi ya kizushi na yuko jela miezi mingi tu sasa.

Huyo Lazaro ni kwamba anakisema chama chake au?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Ufisadi , utekaji na mauaji ni tunu ya Zanzibar.?
 
Vijamaa vioga hivi, Taifa likishakombolewa utaviona mstari wa mbele kutafuta vyeo kwenye Tanzania mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…