Nyalandu: Sikupata barua yoyote ya kunifukuza


real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,257
Likes
5,110
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,257 5,110 280
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amesema kuwa hajawahi kupata barua yoyote kutoka CCM inayomfukuza unanacha kama inavyodai.

Mh. Nyalandu ameiambia Bongo5 kuwa ndani ya chama hicho huwa kuna utaratibu na hawamfukuzi mtu kwa barua bali kuna kuwa na vikao vinavyohusiana na maadili hivyo basi amesema tangu awe ndani ya chama hicho hakuna kikao kilichowahi muita kuhusiana na masuala ya maadili.

“Wakati najiuzulu tarehe 30 mwezi Oktoba, nilifanya hivyo kwa nia yangu mwenyewe na kwa uamuzi wangu mwenyewe, sikuwa nimepata barua yoyote kutoka CCM inayonifukuza, kwahiyo dhana ya kwamba kulikuwa na barua yakunifukuza uanachama sio kweli lakini vilevile ikumbukwe kwamba mimi sikuwa mwananchama wa kawaida mimi nilikuwa ni mbunge ana jimbo pili nilikuwa ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na utaratibu wa chama chetu haufukuzwi tu kwa barua huwa kuna vikao vinavyohusiana na maadili huwa vinakaa,” amesema Nyalandu.

“Hakuna kikao chochote tangu niwe mwananchama ambacho kiliwashawahi kuniita kuhusiana na masuala yanayohusiana na maadili, kwahiyo mimi naona tungejikita tu kufanya muktabari wa nchi yetu tufanye siasa za ushindani na turuhusu watu wawe huru na tusisababishe malumbano ambayo hayana sababu yoyote,”ameongeza.

Nyalandu Jumatatu hii ya tarehe 30 Oktoba mwaka huu aliamua kukihama chama cha Mapinduzi (CCM) na kujivua ubunge wa jimbo la Singida Kaskazini.

Chanzo: Bongo5
 
enjai ya kyasha

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
2,189
Likes
2,070
Points
280
enjai ya kyasha

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
2,189 2,070 280
Dooooh!
 
EWGM's

EWGM's

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Messages
1,528
Likes
1,791
Points
280
EWGM's

EWGM's

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2013
1,528 1,791 280
Wale jamaa maji ya shingo chama kimekosa uongozi, weledi, staha kipo kipo tu kila mtu amekuwa msemaji wa chama.

Na wahuni wa mitandao nao sasa wameshajua kuwa ukiropoka ropoka kama yule aliye juu yao basi utapata nafasi ya kuiba na tai shingoni.
 
Masenu K Msuya

Masenu K Msuya

Verified Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
1,306
Likes
1,209
Points
280
Masenu K Msuya

Masenu K Msuya

Verified Member
Joined Jun 20, 2017
1,306 1,209 280
mfa maji haishi kutapataps nyalandu hata ufanye nini una kesi ya kujibu zidi ya uhujumu uchumi
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
114,476
Likes
497,231
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
114,476 497,231 280
Hata kama aliipata asingesema kaipata atapunguza nguvu ya kiki
 
kinundu

kinundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
1,808
Likes
1,795
Points
280
kinundu

kinundu

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
1,808 1,795 280
Hahahha ni aibu hii kwa slow slow na jopo Lake lotee
 
N

Nkwabichalleslutonja

Member
Joined
Jul 12, 2017
Messages
85
Likes
77
Points
25
N

Nkwabichalleslutonja

Member
Joined Jul 12, 2017
85 77 25
mbona kaaza kutapatapa tena ngoje nikae pembeni niangalie hii muvi
 
M

miwani ya maisha

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,362
Likes
1,682
Points
280
Age
40
M

miwani ya maisha

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,362 1,682 280
Chama cha Mashoga (CCM) kimejaa vichaa watupu kuanzia mwenyekiti wao mpaka mgonjwa wao bungeni....Spika amepona Lakini?!
 
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
11,345
Likes
25,243
Points
280
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
11,345 25,243 280
Hivi ama vile...
Huku ama kule...
Zinanichanganya maana ninazozisikia huku ndo nazisikia kule!
"SIASA SIASANI"
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
23,245
Likes
51,474
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
23,245 51,474 280
Chama kinaendeshwa kidikteta, hakuna vikao ila maamuzi tu
 

Forum statistics

Threads 1,250,869
Members 481,514
Posts 29,748,938