Nyalandu nisiyemfahamu

Nyalandu nisiyemfahamu

Huyo siyo mgeni na wazungu,katika kusomasoma humu mtandaoni hadi nilikuta mahali mtu ameandika kuwa huyo ana DUAL CITIZENSHIP(sina uhakika),na pia ana marafiki wengi wazungu,Americans in particular.

Habeeb Marhan
Walikuwa wageni wake
 
Zaidi ya yote hayo,binafsi nimemuangalia kwenye hili,lilio dani ya uwezo wake,yale ya jimboni ambako akiiomba serikali isipotekeleza basi shida si yake.
Hapa aliomba "mwewe" na matibabu na akapata,watoto wamerudi wakiwa na afya bora kuliko walivyotoka baada ajali.

Habeeb Marhan
 
Samaki hukunjwa angali mbichi, na mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, hao watoto wamejifunza kitu muhimu na kikubwa katika maisha ni umuhimu wa kujitoa kwa ajili ya wengine, labda kama nawe ni bunga hujui elimu kwa vitendo

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi huwezi kutoa maoni yako bila kutumia lugha za kuudhi?
kuna mahali nimeonyesha kumkosea heshima muheshiwa? kwa comment hii ww huwezi kujinasibu eti una elimu.. shame
 
Nami nilishangaa kuona hilo. Utaratibu mzima ulikuwa wa ovyo. Watu walifika mpaka kwenye ngazi ikawa vurugu tu. Kwa nini wazazi/wababa hawakupewa haki yao badala yake wapewe watoto wa Nyalandu? Saying that haina maana hatumpongezi Lazaro kwa kushughulikia swala zima kama mtumishi wa umma. Hawakujiandaa kuwa na mkalimali wazungu wale walikuwa wanashangaa what's next kwenye kupewa zawadi. MC ndio kabisaaaaa ovyooo hata shule hawakuwa na utaratibu mzuri. All in all Tunamshukuru Mungu Watoto wamerudi wakiwa na afya njema thou Doreen bado ana safari ndefu Mungu azidi kumponya. Hivi waziri wa Afya hakualikwa Mbunge naye je?? Swali la kizushi!
tunamshukuru Mungu kwa kuwarudisha salama watoto wetu.
 
hivi huwezi kutoa maoni yako bila kutumia lugha za kuudhi?
kuna mahali nimeonyesha kumkosea heshima muheshiwa? kwa comment hii ww huwezi kujinasibu eti una elimu.. shame
Shutuma zimepokelewa humbly, shame on us all, maana kwa kupenda chongo ukaita kengeza haiwezi kulifanya liwe kengeza litabaki chongo tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huo msaada wa kwenda marekani si wametoa wale waamerica hapo nyarandu anaingiaje

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Nachelea kutoa pongezi, bora tu nitoe.

Nyalandu ni Mbunge wangu toka 2000 hadi sasa,

Mengine ya jimboni kwake ambayo ni madogo au makubwa yanasikitisha sana.

Sitaki kuyasema humu bali nawapeni uwanja msifie.

NB: Si kila furushi(robota) kubwa la nguo lililopambwa kwa kila aina ya pambo juu ndani yake lina nguo nzuri, mengine unawezakukuta ni midoli
Eti aliwahi kuchukua Hela za ufadhili wa wanafunzi wa wazazi wenye kipato duni alafu akazitikitia kunako ac yake? Alafu wafadhili walipokuja kutaka kuwaona wanafunzi wanaofadhili wakapelekwa mahali akakanwa? Naomba ufafanuzi wewe wa jimboni kwake maana...........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huo msaada wa kwenda marekani si wametoa wale waamerica hapo nyarandu anaingiaje

Sent From My Nokia Ya Tochi
Huenda hukufuatilia,hata televisheni ziliripoti kuwa mbunge Nyalandu aliwasiliana na hao watu wa shirika lililotoa ambulance(ndege).

Habeeb Marhan
 
Si nasikia walikua wageni wa nyalandu na gari ya wanafunzi ilipopata ajali walikua nyuma yao na ndio chanzo cha kuhusika kwao na hao wanafunzi? AU!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni wagrni hao ndiyo chanzo cha vyombo vikubwa vya habari duniani kupata taarifa hiyo,wakati hapa kwetu TV zikiendelea kuonyesha "jifunze kichina".

Habeeb Marhan
 
Sasa kama ni wageni wake na msaada wametoa wao why credits apate nyarandu

Sent From My Nokia Ya Tochi
Wageni walisaidia kupeleka habari tu kwebye vyombo vya kwao,kupata usafiri wa kuwapeleka US ndiyo ilikuwa BALAA bila NYALANDU.

Habeeb Marhan
 
Yani binadamu hata ufanye jema kwa kiasi gani,hata upinduke vipi,binadamu hawana shukrani,.
hata kama ana mabaya yake hata hili jema asipongezwe,,kweli ubinadamu kazi.
 
Nimeamini sasa kuwa NYALANDU si wa kufananishwa,ana moyo wa kiutu sana,haishi kiitikadi bali ni kitaifa,
kaenda kumuona TUNDU,
ABARIKIWE SANA
 
Back
Top Bottom