Nyalandu: Nimewasili Mbeya tayari kushiriki Sala Maalumu ya Kumwombea Mhe. Tundu Lissu

Ccm wanacho kosea ni kule kusahau kwamba uongozi na mamlaka vita pita ila kuna maisha baada ya hivi vyote
Nani alikuwa na kiburi kama Mahita wa majambia na mabomu? Yuko wapi leo.
 
Kama ni kumuombea si amuombee tu,anatueleza ili iweje? Hapo hakuna utashi maana maombi yamegeuzwa matangazo ya biashara na watu kutafutia kiki za kisiasa
Hii ni kawaida sana huko makanisani,, mtu uliyepata Kuwa waziri hawawezi kukaa kimya bila kukupa nafasi ya kusema machache kwa nini umejumuika nao siku hiyo!
 
Mapema leo nimetembelea Kanisa la Ilemi mjini Mbeya na kusalimia waumini. Asanteni kwa maombi yenu! Nawapenda sana na nimefurahi sana kwa kumuombea Tundu Lissu tuendele Kumuombea kwa Mungu amponye Haraka mimi binafsi sitaacha kumuombea na kuongoza ibada za kumuombea.

View attachment 594724
Alichofanya Nyalandu ni kitu cha kawaida sana. Kinafanya na watu wengi kwa hiyo msimvimbishe kichwa.
 
Mkuu sijui hilo ni dongo? Sikumaanisha Nyalandu maana siujui udhalimu wake. Kumbuka usemi wa Baba wa Taifa, "CCM si mama yangu" na wakati ule hali ilikuwa haijawa ya kutisha na kustaajabisha ndani ya chama hivyo kama ilivyo leo hii.

Mkuu huna aibu hata chembe kumuita nyalandu dhalimu????na waliotufikisha katika Lindi hili LA umasikini ccm unawaitaje?tafakari Mtoto kafaulu darasa LA 7 kafika kidato cha 2 hajui kusoma wala kuandika unamuitaje aliyasababisha hilo?

BAK Mwanahabari Huru Ritz FaizaFoxy mshana jr Return Of Undertaker
 
Kujitambua ndo kutangaza kwenye medias kwamba anamuombea Lissu, Mungu wa sirini sio wa matangazo ya media hata siku moja, unamuombea mtu ndo unapost kwamba wewe upo ktk maombi.....Watanzania mfunzwe kuwa na maarifa, Spiritual life sio ya namna hii aisee, achen utani na Mungu kabisa, hapa kuna kitu kingine zaidi ya Spiritual issue anayoongelea Lazaro Nyalandu, ni mbunge wangu lkn sikubalian kujitangaza sana kwa medias na kuhusisha spiritual matters, waliookoka hawapo hvo bhana.
 
Back
Top Bottom