Nyalandu auponda mfumo wa uteuzi wa Wagombea Urais ndani ya CHADEMA. Ataka uwekwe mfumo ulio wazi na wa kidemokrasia wa kuwapata Wagombea

Nijuavyo mimi Nyalandu hatoki KLM hivyo hizo ni kelele za chura tu, kaikuta chadema na ataiacha, siku KLM heavyweights kama Lowasa, Mtei wakimwaga cheche dhidi ya chadema hapo kitanuka lkn siyo Nyalandu, huyo watapiga chini fasta tu!
 
unaweza kuweka hapa najina yao ?
Eti inasemekana kuna Zuberi Wa kigoma na Chacha. Kwa mbaaali nlisikia hata Dr mihogo aliambiwa kama anataka chama kifate taratibu na mipango ya mwenyekiti Wa milele ya kupiga pesa iharibike basi ni heri atafute pa kutokea
 
Hivi ni kwa nini Benard Membe aliitwa na CCM afike ofisini kujieleza?
 
Kwa nini usiseme anajinyeanyea yeye?
Utakuwa ni upumbavu gani wamekupa penati umekosa lakini unang'ang'ania kupiga faulo kwenye 18 huku ukitaka kuwaaminisha watu kuwa una uwezo wa kufunga, kweli?
Sasa mtu alipoteza wakati akisaidiwa na wakubwa zake, atawezaje sasa hivi wakati wakubwa wake hawana meno ya kutosha?

Sasa mlikuwa mnapiga mayowe ya nini mpaka mkakodi Team Lowasa waje msaidiane kumdhibiti?Katibu Mkuu akajitutumua kumuita kwa mikwala baadaye kanywea mwenyewe.
 
Chickens coming home to roost never did make me sad.Kikubwa ni Mamvi kutokuwa na interest na kugombea 2020 kinyume na hapo maigizo yake ya kuombwa kugombea yatawalaza na viatu kama tayar mtakuwa na mgombea wenu kwenye bahasha.
 
Kwa sifa gani alizonazo Tundu Lisu!! Au kushambuliwa/kujeruhiwa kwa risasi ni sifa ya mtu kuiongoza nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni sifa muhim sana, haswa ukizingatia hakujeruhiwa kwa risasi akiwa kwenye tukio la ujambazi. Bali alijeruhiwa (lengo likiwa kumuua) kwa kuwa na hoja nzito za kisiasa, kijamii, na kiuchumi na wapinzani wake kushindwa kuzijibu kwa hoja na badala yake wakatumia nguvu.
 
Ili huyu kichaa tuliyenaye aondoke ifikapo 2020, tunalazimika kumbebesha Tundu Lissu bendera ya CHADEMA, na SI mwingine. Kwa TL, kichaa lazima asepe.
Hicho unachokifanya wewe ndicho watu wanachotaka kiwe Cha kidemokrasia zaidi,yaani wawepo wagombea wa kushindanishwa na kura za wazi ili aliyeshinda ndiye apeperushe bendera ya chama ,kwa kufanya hivyo chama Cha demokrasia kitakuwa kimefanya demokrasia kunakishi demokrasia ya jina letu la chama Cha demokrasia.
 
Kwa nini usiseme tu ukweli kuwa, amegundua mfumo wao ni mbovu na hana uhakika wa yeye kupita ama anayempenda kupita kwenye mchujo wa Chama kutokana na kutokuwepo kwa mfumo unaoeleweka?
HAYO NI MAWAZO YAKO,KWANINI UNAMSEMEA MTU MWENGINE WAKATI HUJI YEYE ALIKUWA ANAMAANISHA NINI

NB: FIKIRI KABLA YA KUTENDA
 
Back
Top Bottom