Nyalandu atoa msaada wa milioni 120 Ifakara

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
[h=6]"Driving to Ifakara from Singida North this afternoon where I hosted an Irish Volunteer team to inaugurate 2 completed water projects at Malolo and Sokoine villages. Each project included a deep borehole, a water tank, sub water pump and a solar panel, at a US40,000 each. Thanks for all those who gave to the thirst souls"
(facebook page)

Haya mh heshimiwa azidi kuchanja mawingu kuelekea kuzuri, nyie mnao mbeza sio raia kijijini kwenu mmesaidia hata kupeleka panadol katika dispensary ya kijiji????

oh oh hebu...... anatoa takrima serikali makini ingetakiwa itumie fedha zake katika kutekeleza huduma za jamii sio kupitisha bakuli kwa wazungu, nyalandu hata akigombea urais hana jipya hatakuwa tofauti na mbaomba wa kimataifa "Jk", ooh ooh wakwere na wasingida hawana tofauti.......TOKENI HUKO BANA,

My take;

Tutegemee mengi zaidi miaka hii minne iliyobakia.................hakika ukistaajabu ya Musa............................utayaona ya ferauni.........ukiona mchwa anapanda kwenye jembe ...................ujue anaufuata mpini, asikiae na afahamu.

nawasilisha

[/h]
 
Tumuunge mkono hata kama anatoa misaada ili apate urais kwani shida yetu nini bwana! Mbona jk ni rais lakini misaada yake ni mbuzi na mchele kila mwaka? Kaza buti nyarandu kama unahitaji ikulu iko wazi inakusubili! Toa misaada baba!
 
sounds to me like the funds didn't come from his pockets....nice shot though..
hivi matatizo jimboni kwake yameisha?au opportunist wa popularity katika kipindi cha msina
ccm acheni mbio za urais
 
"ATOA MSAADA" au 'ASAIDIA KUFANIKISHA' ???

Habari iendane na kichwa cha habari.
 
Siku hizi kila anayefanyakazi vizuri anaambiwa anataka uraisi

hao wenyew viongozi ndio waliotutengenezea mtazamo huo kwa matendo yao ya kidhalimu.
sasa hapo kuna maswali mengi but either way, big up kwa waziri!
:A S 465:waendelee hivyo hivyoo kwani hata hivyo hizo hela za mzungu walivuna kwetu
 
ngereja mil 500, Nyarandu mil 120, Lowasa kama Mil 700 sasa .jamani hela zinatoka wapi
 
Tumuunge mkono hata kama anatoa misaada ili apate urais kwani shida yetu nini bwana! Mbona jk ni rais lakini misaada yake ni mbuzi na mchele kila mwaka? Kaza buti nyarandu kama unahitaji ikulu iko wazi inakusubili! Toa misaada baba!

Ndio ujinga wetu watanzania. Hivi sio hawa juzi walikuwa wanasema waongezewe posho kwa kuwa maisha ya DOM magumu? Sasa umeshajiuliza katoa wapi 120ml za kudonate? Ndio maana mimi hata mtu akiniambia kabakwa au katapeliwa huwa simuhurumii, kwa kuwa in most cases huwa tunaenda wenyewe, kwa kifupi sioni unachoshangilia hapo zaidi ya kutojua kuwa hata huyu kikwete tunayemuona hana kauli dhidi ya mafisadi aliwekwa madarakani kwa mtindo huo huo. Nyie ongeeni kama mko MMU lkn kumbukeni mustakabali wa nchi haupatikani kwa hisia
 
"Driving to Ifakara from Singida North this afternoon where I hosted an Irish Volunteer team to inaugurate 2 completed water projects at Malolo and Sokoine villages. Each project included a deep borehole, a water tank, sub water pump and a solar panel, at a US40,000 each. Thanks for all those who gave to the thirst souls"
(facebook page)

Haya maneno yanaonesha kuwa huyo Mheshimiwa alikwenda kuzindua tuu, na sio kufadhili, na amewashukuru wote waliojitolea, au mie ndo sijaelewa vyema? Watanzania hatutakoma kutumiwa, mwe!
 
Waache wazipunguze...hata hivyo wanatoa ziada tuu....Hali ya maisha ya wabongo kwa sasa ni mbaya sanaaaa...asikwambie mtu kitu.....
 
Ndio ujinga wetu watanzania. Hivi sio hawa juzi walikuwa wanasema waongezewe posho kwa kuwa maisha ya DOM magumu? Sasa umeshajiuliza katoa wapi 120ml za kudonate? Ndio maana mimi hata mtu akiniambia kabakwa au katapeliwa huwa simuhurumii, kwa kuwa in most cases huwa tunaenda wenyewe, kwa kifupi sioni unachoshangilia hapo zaidi ya kutojua kuwa hata huyu kikwete tunayemuona hana kauli dhidi ya mafisadi aliwekwa madarakani kwa mtindo huo huo. Nyie ongeeni kama mko MMU lkn kumbukeni mustakabali wa nchi haupatikani kwa hisia

Nilazima tumkumbushe huyu bwana mdogo Nyalandu kwamba vijiji vingi vya jimbo lake, wilaya yake na hata mkoa wake wa singida hawana huduma ya sio tu maji salama lakini hawana maji. Ukitaka kujua hili tembelea huko wakati wa kiangazi utakapo kuta maji wanayotumia wapiga kura wake yanayofanana maziwa. Kusudio la hii huruma ya kusaidia jirani yako wakati wototo/watu wako wakihangaika inatia mashaka
 
wamarekani wako after uranium, mafuta, gesi, dhahabu na aridhi ya watanzania. Kuweni macho!
 
Ndio ujinga wetu watanzania. Hivi sio hawa juzi walikuwa wanasema waongezewe posho kwa kuwa maisha ya DOM magumu? Sasa umeshajiuliza katoa wapi 120ml za kudonate? Ndio maana mimi hata mtu akiniambia kabakwa au katapeliwa huwa simuhurumii, kwa kuwa in most cases huwa tunaenda wenyewe, kwa kifupi sioni unachoshangilia hapo zaidi ya kutojua kuwa hata huyu kikwete tunayemuona hana kauli dhidi ya mafisadi aliwekwa madarakani kwa mtindo huo huo. Nyie ongeeni kama mko MMU lkn kumbukeni mustakabali wa nchi haupatikani kwa hisia
Duh, hivi Nyalandu amesema ametoa mfukoni kwake au kasema aliwakaribisha mavolunteer wa ki Ireland kufungua hivyo visima? Umejiuliza kwanini waIrish ndo walivifungua hivyo visima? Kwanini hujafikiria kwamba wanaweza kuwa hao ndo waliochangia. Na umeshaambiwa kwamba kikundi cha kujitolea. Kwa namna moja au nyingine si lazima awe yeye ndiye aliyewezesha, anaweza kuwa alialikwa tu asimamie ufunguzi. Tusikimbilie kwenye conclusion haraka hivyo.
 
Tumuunge mkono hata kama anatoa misaada ili apate urais kwani shida yetu nini bwana! Mbona jk ni rais lakini misaada yake ni mbuzi na mchele kila mwaka? Kaza buti nyarandu kama unahitaji ikulu iko wazi inakusubili! Toa misaada baba!

safiii sanaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom