kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Watu wajue ugumu wa kazi ya uraisi kwa kumwangalia blaza Magu anavopambana,huyu alidhani uraisi ni kuvalia misuti na kumtafutia diamond Chaneli za mziki kama jah kaya alvowafundisha ndomana akautaka.
watu wa singida waliomchagua yaonekana wakimwona hivi wanarukaruka kwamba ni amazing, mtuwao anayarudi mpaka hko ulayani.
watu wa singida waliomchagua yaonekana wakimwona hivi wanarukaruka kwamba ni amazing, mtuwao anayarudi mpaka hko ulayani.