Nyalandu Akisakata Dansi Ujerumani (Picha)

Nyalandu Akisakata Dansi Ujerumani (Picha)

Status
Not open for further replies.
Ilikuwa awamu ya kudansi na kupiga hela mwanzo-mwisho. Sasa ni KAZI TU
 
Huyu ndo alitaka kuwa Rais wetu kwa miaka mitano ikiwezekana miaka 10 ijayo daah Mungu katuepushiwa mzigo wa misumari tena.
 
Awamu iliyopita ilikuwa na wasakata rhumba na wasafiri wengi sana
 
Ukipewa uongozi wa nchi lazima ujiheshimu, Julius Nyerere (1996).
 
Kama wanaopost humu wengi ni vijana basi tutarajie wagonjwa wengi wa matatizo ya moyona deprssion miaka ya hivi karibuni. Watu wana chuki, wanatamani maisha waliyoyaota wakayakosa, sasa vijiba vimewakaa rohoni mwao, mtu akifurahi tuu kelele. Basi wasemeni wote hata wale wanaokwenda Dubai kupeana ujauzito kwa fedha ya serikali kama kweli mna uchungu na nchi hii.
 
domokaya! lazima tuwe na vijiba kwa viongozi wanaotumia kodi zetu kujifurahisha wenyewe! hiv ulishawahi kumuona Waziri/Katibu mkuu/mkurugenzi/kamishna wa serikali ya JPM akisafiri ughaibuni kisha akaenda cheza dansi hivi???
 
Unadili na serikali ya awamu ya nne mpaka leo, nchi haiwezi toboa chini ya utawala wa ccm, hii ni awamu ya maghembe kwenye utalii huyu anakula alivyochuma.
Dah... ebwana eeh fanya fasta umuone daktari wa macho na masikio.. FASTAAA[emoji12]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom