Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 830
Kumbe unapenda afunge kila siku, siku akiboronga unamkachaIla nimejikuta namchukia tu.
Kumbe unapenda afunge kila siku, siku akiboronga unamkachaIla nimejikuta namchukia tu.
Haya bana Pacha.Ee ushindi kwetu ni jambo kubwa na la kawaida kinyamaaaaa
Hahahahahahahahah Mpaka muda huu bado upo JF online kwa kweli kipigo kimekuvuruga.Ila nimejikuta namchukia tu.
Hamna matendo yake Mtani. Kwa upande wangu nayaona si ya kuvumilika hata kama alikuwa anaumuhimu na kupendwa kiasi gani.Kumbe unapenda afunge kila siku, siku akiboronga unamkacha
Daah nimecheka sansTofauti ya YANGA na SHILOLE ni MGAHAWA tu ila wote wame pigwa VIBAYA tangu tuingie uchumi wa kati na kama sio mgahawa wangekua hawana tofauti sio kwa kipigo hcho
Alafu hii dharau zimemzidi..Hamna matendo yake Mtani. Kwa upande wangu nayaona si ya kuvumilika hata kama alikuwa anaumuhimu na kupendwa kiasi gani.
Hahahahaaa. Umefanya nimecheka. Lol.Hahahahahahahahah Mpaka muda huu bado upo JF online kwa kweli kipigo kimekuvuruga.
4G a.k.a Miguu ya stuli.
Umeona binamu yaani pale kaonyesha hana anayemuheshimu ndani ya Klabu mana mpaka Msola alikuwepo.Alafu hii dharau zimemzidi..
Miujiza mikubwa..Hahahahaaa. Umefanya nimecheka. Lol.
Muda si mrefu nalogoff.
Siyo wa kihistoria, ni wa HISTORIA...Kweli ninyi ni mabingwa wa kihistoria, naona mnakumbukia goli lenu la masika
Kwa makusudi mliamua Ku change mada.Hapana, ninataka tu asiendelee kuadhirika. Yule mjomba huwa namkubali sana, hasa akiwa Porto, Chelsea (mara ya kwanza) na Inter Milan.
Baada ya hapo nilianza kuona kama game zinamkataa.
Hahaha umekuja eeeh!!!Daah!! Ila ndo soka bana Mtani.
Tunaganga yajayo sasa.
Hawa si walishabebwa tangu pale tulipoingia robo fainali cafcl. Tunao kimataifa hata wàkishika utatu.kwahiyo mwaka huu wa pili kwenye msimamo wa ligi kama haendi basi yanga wanajutia sana kukutana na simba
Leo hii c ndio mulikuwa munamlinganisha na chama nyi kwasababu kapanda mpira!Kiukweli Siko poa Mtani.
Kuhusu Morison tumeingia cha kike Mtani kwani ni jipu lile japo nashangaa wanavyolilea lea.
Hatari mzeeDaah nimecheka sans
Uko vizuri mkuu. Insight yako ni balanced. Nina mtazamo sawa na wako. Mourinho kwa sasa hana chake, akafundishe timu za taifa. Makali yake yaliisha Inter Milan. Sijui kwanini watu huwa wabishi kukubali na kuona hilo. Zama za Josè zilishaisha.Hapana, ninataka tu asiendelee kuadhirika. Yule mjomba huwa namkubali sana, hasa akiwa Porto, Chelsea (mara ya kwanza) na Inter Milan.
Baada ya hapo nilianza kuona kama game zinamkataa.
Uko vizuri mkuu. Insight yako ni balanced. Nina mtazamo sawa na wako. Mourinho kwa sasa hana chake, akafundishe timu za taifa. Makali yake yaliisha Inter Milan. Sijui kwanini watu huwa wabishi kukubali na kuona hilo. Zama za Josè zilishaisha.
Hahahaaaa. Haya bana.
Bado nina imani na Timu ya Wananchi najua one day yes.