Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Screenshot_20200713-114812~2.jpg
 
Hapana, ninataka tu asiendelee kuadhirika. Yule mjomba huwa namkubali sana, hasa akiwa Porto, Chelsea (mara ya kwanza) na Inter Milan.

Baada ya hapo nilianza kuona kama game zinamkataa.
Uko vizuri mkuu. Insight yako ni balanced. Nina mtazamo sawa na wako. Mourinho kwa sasa hana chake, akafundishe timu za taifa. Makali yake yaliisha Inter Milan. Sijui kwanini watu huwa wabishi kukubali na kuona hilo. Zama za Josè zilishaisha.
 
Kitu kingine kinachomwathiri Mou ni man management, siku hizi wachezaji wana power kubwa sana tofauti na miaka ile ya nyuma.

Kiasi kwamba ukiendelea kutumia style zile zile za zamani utakuwa unagombana na wachezaji kila mara, sasa hivi mchezaji mkitofautiana anataka auzwe. Miaka ile ungeweza kumweka benchi mchezaji hata misimu miwili bila kumuuza na watu wasipige kelele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom