Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Sikumbuki hata niliishia dakika ya ngapi. 😎😎😎
Kumbe ulikata tamaa mapema hivyo. Unajuaje pengine yale magoli yalirudishwa kama yalivyorudi kwenye ile mechi ya 2-2!? Kwani ushajua matokeo ya dakika tisini Shadeeya ?πŸ˜€πŸ€£πŸ˜€πŸ€£, maana kwa Yanga mpira haujaisha mpaka uishe.....chezea Chura churani wewe🀣🀣🀣

Daima Mbele nyumaa..............
 
Au kayapanda dau?
JamiiForums209507263_359x439.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom