Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Kitu kingine kinachomwathiri Mou ni man management, siku hizi wachezaji wana power kubwa sana tofauti na miaka ile ya nyuma.

Kiasi kwamba ukiendelea kutumia style zile zile za zamani utakuwa unagombana na wachezaji kila mara, sasa hivi mchezaji mkitofautiana anataka auzwe. Miaka ile ungeweza kumweka benchi mchezaji hata misimu miwili bila kumuuza na watu wasipige kelele.
Hii mbinu Babu Alex Fergusson kaitumia sana enzi za utawala wake pale Old Trafford. Mchezaji hata ukiwa star namna gani kwake lazima ushike adabu. Hata kina David Beckham, Christian Ronaldo na Roy Keane walikua wanalijua hilo
 
Hii mbinu Babu Alex Fergusson kaitumia sana enzi za utawala wake pale Old Trafford. Mchezaji hata ukiwa star namna gani kwake lazima ushike adabu. Hata David Beckham walikua wanalijua hilo

Ni kweli, na ilisaidia sana kwa kipindi kile.

Ila sasa hivi mchezaji naye ni institution inayojitegemea, kwa hiyo inakuwa ni institution ndani ya institution. Huwezi kuwapeleka kama ilivyokuwa kipindi kile.

Sasa Mourinho hii kasi mpya imekuwa ni ngumu kwake.
 
Asipotaka kujifunza mbinu mpya za kuongoza timu kwa kizazi hiki atajikuta hapati kutoka kwa wachezaji ile kujitoa kwa ajili ya timu kwa asilima zote
 
Yes, mwisho wa siku wachezaji wanaishia kumfanyia migomo. Ukiangalia jamaa kuanzia Madrid, Chelsea (mara ya pili) na Man Utd kote hakupata sapoti ya baadhi ya wachezaji na kufanya kazi yake kuwa ngumu.

Hata Tottenham, si muda atatengeneza mifarakano na timu itamsumbua.
 
usijali, kuna miujiza kma ya mwaka jana itatokea na mtapanda ndege tu mtani, tumemtuma mo akaongee na CAF, kuna nchi itapigwa ban.
Wataendaje iwapo simba ameshapita,halafu namungo,then azam wakashika natasi ya pili,kuna mashaka pia namungo wanaweza kushika nafasi ya 3
 
si zitakuwa timu kma mwaka jana mkuu, hivyo hawawezi kukosa hiyo nafasi
Wataendaje iwapo simba ameshapita,halafu namungo,then azam wakashika natasi ya pili,kuna mashaka pia namungo wanaweza kushika nafasi ya 3
 
Ni kweli, na ilisaidia sana kwa kipindi kile.

Ila sasa hivi mchezaji naye ni institution inayojitegemea, kwa hiyo inakuwa ni institution ndani ya institution. Huwezi kuwapeleka kama ilivyokuwa kipindi kile.

Sasa Mourinho hii kasi mpya imekuwa ni ngumu kwake.

Sasa kama mchezaji ana power kuliko mwalimu mbona mbinu ya mwalimu itakuwa ngumu kufanikiwa,sasa watu kama kina Clopp na Diogo simeone wanafanikiwa vipi kuwa manage wachezaji au utashi tu wa wachezaji
 
Ndiyo hapo man management skills zinahitajika sana kwa sasa, kuna jinsi kocha anavyowafanya wachezaji kuwa rafiki, kiasi kwamba wanakuwa wanacheza kwa umoja sana.

Angalia mtu kama Diego Simeone, Klopp, Pep huwezi kukuta wanamponda mchezaji kwenye media kama amekosea, watajitahidi kumlinda na labda kwenye vyumba ndo wanaelezana.

Tofauti na Mou, ukizingua anakuchana kwenye media, na timu ikishindwa lazima atafute wa kumwangushia jumba.

Miaka ya kina Fergie wachezaji walikuwa wanachukuliwa kama watoto, kocha ndiye alikuwa kila kitu.
 
Basi kwa style hii morinho ana wakati mgumu sana maana ilianzia kwa daktari wa chelsea yule Eva,baadaye kina Pogba chelsea hadi akatimuliwa.
But back in the days chelsea ya morinho niliipenda sana na ndo kocha aliyefanya niipende chelsea,but ndo hivo sasa hivi hawezi kudumu na timu zaidi ya misimu miwili
 
Hata alipokuwa Madrid kulikuwa na ugomvi na kina Casilas, mpaka Casilas akaondolewa. Baadae akaanza kutofautiana na kina Ramos na Ronaldo, nadhani hapo alikuwa ameshafikia kukaribia kufukuzwa, maana kila wakifungwa alikuwa anasema kwamba hawachezi kwa nia ya ushindi.
 
Matatizo mengine ya kujitakia km kweli Yanga watapanga kikosi hicho anakufa,Simba ana kawaida ya kujaza watu kati hupaswi kuanza na Ditram na molinga kwa pamoja aidha Ditram awe striker nyuma yake akae kiungo aidha Rafael daud au hata banka au molinga awe tisa kumi akae kiungo km kawaida huwezi cheza na viungo 3 mwenzio katia umati pale kati km Tshishimbi angewepo basi kumi angecheza fey kwa kua Balama hayupo maana ndie hucheza hapo game zote 2 alicheza yeye!
😂🤣😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom