Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,126
Hahahahahaaaaaaa MATUMBO umeipata hiyo????? UMEME haukukatika KIJITONYAMA labda km LUKU yao ndo iliisha.
Tafakariiii....
"UKIMEGEWA DEMU WAKO....NA WEWE TAFUTA MNYONGE UMMEGEE" Si mimi ni mwana FA
we danganya watu kuwa ulikuwa kijitonyama halafu afe mtu kwa preshaMi niko k'nyama na umeme haujakatika hata siku moja! Wewe sikukuu yoote hii uko kwenu b'moyo, badala ukamchukue mpenzio umpeleke coco beach akale mihogo ya kukaanga na kachumbari ya pilipili! Unalo sasa!
inaonyesha haukumpa mshiko wa kufanya manunuzi,
kampata mwenzio anayeweza kufanya manunuzi,
sasa walilia nini.
kama wamwamini presha ya nini amini alichokwambia
omba Mungu nisikukamate..siku iyo nitakusaplaiz mautini kunafananaje.
Waungwana laaziz wangu siku ya jana nilitaka kumsaplaiz ila alikuwa hapatikani kwenye simu tangu saa 11 jioni mpaka leo saa 6 mchana,nilipompigia amesema simu iliisha chaji na umeme ulikuwa hakuna..Duuuh!kidogo nilipumua..so nilikuwa nauliza kwa wakazi wa dar es salaam eti jana kulikuwa hakuna umeme hapo mjini??nataka uhakika zaidi japo namuamini,mie nipo bwagamoyo kwa sasa.
Jogoo koko huwezi kumjua mpaka aanze kuwika
:A S-coffee::juggle:
mshiko sio tatizo..msukuma mie,ukinichuna unikomeshi,unanifurahisha,kutoa ndio jadi yangu...nadhani hawa kina dada wa sku izi watakuwa wamerogwa!
huo mkwara tu mkuu.
Kwani ni simu ile mpaka useme nilikupora... Ila yule mtoto sijui ana kisukari? Maana ni mtamu ajabu...
acha utani King'asti mie na wewe atujawai taniana ata siku moja,inamaana kweli umeme ulikuwepo??
Uwezi amini tumewasiliana jana hadi saa tisa na nusu mchana,na yeye ndio alionipaga wazo sikukuu tukailie nje ya mji..
Jogoo koko huwezi kumjua mpaka aanze kuwika
:A S-coffee::juggle:
we danganya watu kuwa ulikuwa kijitonyama halafu afe mtu kwa presha
Huna muamana kabisa
huo mkwara tu mkuu.
Kwani ni simu ile mpaka useme nilikupora... Ila yule mtoto sijui ana kisukari? Maana ni mtamu ajabu...
Sasa wewe uliopewa wazo la krismas nje ya mji, hukulifanyia kazi! Labda alitokea msamaria akakusaidioa kumpeleka nje ya nchi kabisa. Usijali, sikukuu ikiisha utampata na umeme utamrudia.