...nusu aniue kwa presha...

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,960
Waungwana laaziz wangu siku ya jana nilitaka kumsaplaiz ila alikuwa hapatikani kwenye simu tangu saa 11 jioni mpaka leo saa 6 mchana,nilipompigia amesema simu iliisha chaji na umeme ulikuwa hakuna..Duuuh!kidogo nilipumua..so nilikuwa nauliza kwa wakazi wa dar es salaam eti jana kulikuwa hakuna umeme hapo mjini??nataka uhakika zaidi japo namuamini,mie nipo bwagamoyo kwa sasa.
 
Kwani anakaa mtaa gani? mh hatari mi hapa mawivu yameshanijaa km wangu vile
 
kuna maeneo hayakuwa na umeme for more than 30hrs

Lakini hii inaonesha you are not into her/him
ukianza kum-doubt mpenzio hadi kutaka clarification toka kwenye mitandao ya kijamii ni tatizo hapo.
 
Kongosho kumtilia mashaka mwenza wako muhimu sometime..wanawake hawana dhamana!
 
acha presha mkuu.......kudinyiwa kupo tu,hakuepukiki...utajakufa bure....
 
Mi niko k'nyama na umeme haujakatika hata siku moja! Wewe sikukuu yoote hii uko kwenu b'moyo, badala ukamchukue mpenzio umpeleke coco beach akale mihogo ya kukaanga na kachumbari ya pilipili! Unalo sasa!
Ok wait wadau wa k'nyama waje watujuze km ulikuwepo.
Jamani wana k'Nyama umeme ulikuwepo jana?
 
Mi niko k'nyama na umeme haujakatika hata siku moja! Wewe sikukuu yoote hii uko kwenu b'moyo, badala ukamchukue mpenzio umpeleke coco beach akale mihogo ya kukaanga na kachumbari ya pilipili! Unalo sasa!
Hahahahahaaaaaaa MATUMBO umeipata hiyo????? UMEME haukukatika KIJITONYAMA labda km LUKU yao ndo iliisha.
Tafakariiii....
"UKIMEGEWA DEMU WAKO....NA WEWE TAFUTA MNYONGE UMMEGEE" Si mimi ni mwana FA
 
Kama luku yake iliisha si angeenda kuchaji simu kwa mangi dukani! Sikukuu imegeuka SIKU KUU! Kama presha ikipanda sana uni-pm baba nitangaze kifo chako mapemaa humu jf!

acha utani King'asti mie na wewe atujawai taniana ata siku moja,inamaana kweli umeme ulikuwepo??
Uwezi amini tumewasiliana jana hadi saa tisa na nusu mchana,na yeye ndio alionipaga wazo sikukuu tukailie nje ya mji..
 
Mi niko k'nyama na umeme haujakatika hata siku moja! Wewe sikukuu yoote hii uko kwenu b'moyo, badala ukamchukue mpenzio umpeleke coco beach akale mihogo ya kukaanga na kachumbari ya pilipili! Unalo sasa!

Duh! umeamua kugongea msumari kwenye kidonda! bora ungepotezea mshikaji atakosa usingizi kwa kufikiri alikuwa anamegewa!!
 
Hahahahahaaaaaaa MATUMBO umeipata hiyo????? UMEME haukukatika KIJITONYAMA labda km LUKU yao ndo iliisha.
Tafakariiii....
"UKIMEGEWA DEMU WAKO....NA WEWE TAFUTA MNYONGE UMMEGEE" Si mimi ni mwana FA

kweli lakini inawezekana luku iliisha,maana uyu binti navyomfahamu sidhani kama anaweza kufanya uhuni wa mtindo huo.
 
anakaa kijitonyama.

AAAHHHH UMELIWA, knyama ilikua na umeme full time!!!

mkuu hata kama hakuna umeme, kama kweli anakupenda angetumia hata simu ya babayake kukutafuta.... pole mkuu :eyebrows:
 
Kama luku yake iliisha si angeenda kuchaji simu kwa mangi dukani! Sikukuu imegeuka SIKU KUU! Kama presha ikipanda sana uni-pm baba nitangaze kifo chako mapemaa humu jf!
thanks kamanda

dogo keshaliwa huyo ati'

nijuavyo mie mpenzi na sikukuu, atakutafuta kwa kila hali

:hat:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…