Wajamani namshukuru Mungu,
Kwa sababu ya mengi.
Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu kwa maana leo ndio imekuja kutolewa posa .
Sio wa jf wala wanini ni mzungu amenipunguzia machungu ni galfa ila na shukuru sana leo naitwa mchumba wa mtu.
Na mwezi ujao tarehe 3/11/2018 naolewa asanteni kwa wote mliojitokeza.
Asanteni muwe na wakati mwema
Hongera sana kwa kupata mchumba ila tambua tuu hiyo step ya mwanzo kuelekea kwenye lengo lako.
Unahitaji muda umfahamu mchumba wako tena muda mrefu sana ili ujue namna ya kuishi nae pia uje udhaifu na tabia zake na ujue namna ya kuzitatua.
Nakushauri mchumba wako awe na hofu ya MUNGU! sidhani kama kuna mu wa kumzuia kufanya atakacho ila MUNGU pekee ndie anaeweza so kama ni mtu wa MUNGU naweza sema 90% ya malengo yako umefikia hizo 10 nyingine zifanyie deep analysis na clear observation ili mkianza kuishi wote muwezane! weakness na strength zenu mtazihandle vizuri so mta enjoy ndoa.
Uaminifu ni muhimu sana hii dunia tunajua imejaa vishawishi vya kila aina kwa pande zote mwanamume na mwanamke kwa hiyo ukiwa legelege andika maumivu kwani mwenzio nae atakua hivyo hivyo au atakaucha coz sisi wanaume hatuwezi kabisa kuvumilia hasa kitu kinachoitwa usaliti.
Kingine jiandae kuwa mke na mama "Kiroho, kiakili na kisaikolojia" vitu visivyo na msingi vipige chini now focus on your marriage.
Wanaume tunapenda wanawake wenye akili, wakweli, waaminifu, wachapa kazi, wavumliivu, warembo na wasio na maneno mengi (mdomo) na wanaoweza kuendana na hali ya mwanaume sio mwanaume una pesa ya kula ugali dagaa mwanamke anakuambie mkale kempiski huo ni ufala. We live real in real world not imaginative world. Tumia kadiri unavyopata so enjoy your life...
GOD bless you.